Latest Posts
Urusi inasonga mbele kwa kasi nchini Ukraine
Jeshi la Urusi linasonga mbele kwa mafanikio makubwa, katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine, kwa mujibu wa utafiti. Taarifa kutoka Taasisi ya Utafiti wa Vita (ISW) inaonyesha, kwa mwaka 2024 Urusi imenyakua karibu mara sita ya maeneo iliyonyakua…
Wadau waombwa kusaidia kilim himilivu
Na Mwandishi Wetu WADAU wa maendeleo wameombwa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo nchini Tanzania, hasa kwa kundi la vijana na wanawake ili kuhakikisha wanaleta mchango katika sekta hiyo. Wito huo ulitolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Amina…
Timu ya waogeleaji safarini kuelekea Burundi
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya taifa ya waogeleaji imeanza safari leo Novemba 20 kuelekea nchini Burundi kushiriki mashindano Cana kanda ya tatu ya mwaka huu 2024( Cana zone 3 2024). Kikosi hicho kimesafiri kikiwa tayari kushiriki…
TMDA yaonya matumizi dawa kuzuia mimba, kuongeza nguvu
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Mashariki, imeonya juu ya matumizi mabaya ya dawa za kuzuia ujauzito na kuongeza nguvu za kiume, ambayo yamebainika kuhatarisha afya za watumiaji. Onyo hilo limetolewa na Mkaguzi wa Dawa wa…
Ukraine yaishambulia Urusi kwa makombora ya Marekani ya ATACMS
Ukraine imeapa kutokata tamaa katika siku ya 1,000 ya uvamizi wa Urusi, huku ikisisitiza dhamira yake ya kushinda vita dhidi ya Moscow. Wakati huo huo, Urusi imeongeza mvutano kwa kutangaza tishio jipya la nyuklia, ikilenga kuzuia mashambulizi yanayowezekana dhidi ya…
Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi
Na Mwandishi Maalum Mwanariadha wa Jeshi la Polisi Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa…