Latest Posts
Helikopta zinavyowaliza Watanzania
Maelfu ya Watanzania, ndani na nje ya nchi wameendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (43), aliyefariki dunia pamoja na watu wengine wanne katika ajali ya helikopta iliyotokea wiki iliyopita. Pamoja na Filikunjombe, wengine waliofariki dunia ni…
Dhana ya mabadiliko (2)
Serikali tunayoihitaji ijayo ilete matulizo kwa hayo yaliyotokea hapa nchini. Watu wajaliwe, waheshimike na wapate kupiga hatua mbele ya hapa walipo. Kwa kutokuwa na uti wa mgongo wa utawala – UTUMISHI WA UMMA mzuri kama hapo zamani hitaji la utawala…
Majibu kwa wanaomsimanga Magufuli
Kwanza nakushuruku Mhariri kwa kuipa nafasi makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho: “Ndani ya Dk. Magufuli, namuona Mwalimu Nyerere”, iliyochapishwa katika toleo namba 211 la Gazeti la JAMHURI. Nimepata wasomaji wengi sana walionipigia simu na wengine walioniletea ujumbe…
Yah: Kwako Rais mpya
Nianze kwa kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa wa Mchungaji Christopher Mtikila. Mchungaji Mtikila alikuwa mtu wa jirani sana kwangu na nimezungumza naye mara nyingi sana, maono yake ni dhahiri alikuwa anajua siku moja yatatimia akiwa hajaifungia macho dunia. Lakini…
Kila la kheri Watanzania
Jumapili hii, Watanzania tupatao milioni 23.7 tunatarajiwa kumiminika vituoni kwa lengo moja tu la kupiga kura kuchagua viongozi bora, watakao tuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Baada ya viongozi waliopo sasa kumaliza muda wao wa uongozi wa miaka mitano…
Chadema imewanyimaje Watanzania uchaguzi?
Katika gazeti moja la kila wiki, toleo la wiki iliyopita, mwandishi mmoja mahiri, Lula wa Ndali Mwananzela, ambaye huwa namchukulia kama mtu mwenye maono ya mbali, kaamua kujichanganya na kuniondolea kile nilichokuwa nacho kwa muda mrefu kuhusu mtazamo wake. Kafanya…