JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tumerudi hewani

Mpendwa msomaji,   Natumaini hujambo na unaendelea vyema. Kutokana na sababu zilizoko nje ya uwezo wetu, wavuti wetu haukuwa hewani kwa karibu miezi minne. Tumepigana kwa kila hali, tatizo hili limekwisha na sasa tunarejea hewani. Tunaahidi kuendelea kuwatumikia kwa hali…

Ras Inno kuitambulisha bendi yake

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, mwanamuziki nguli wa miondoko ya reggae hapa nchini, Ras Inno Nganyagwa, anarudi tena jukwaani kwa kuitambulisha rasmi bendi yake.

Yah: Bomu la elimu duni, ajira, njaa

 

Wiki jana nilikumbuka baadhi ya mabomu mabaya zaidi duniani, ambayo Tanzania pia tunajitahidi kuyatengeneza japokuwa mataifa makubwa yanayotengeneza silaha kali, hayataki kuja kutuchunguza ili tuwekewe vizingiti vya kiuchumi.

Je, Mkristo akichinja ni haramu? – 3

Wiki iliyopita makala haya yaliishia Mbunge Hafidh Ali Tahir, alipoiomba Serikali kuweka utaratibu wa kuchinja. Je, unajua majibu aliyotoa waziri? Endelea…

Sisi Waafrika weusi tukoje? (2)

Ndugu yangu Bundara anasema kwamba Waafrika waliiga matumizi ya Kizungu vizuri zaidi kuliko walivyoiga mbinu za Wazungu za uzalishaji. Ndiyo kusema tulitamani sana tabia na desturi za Wazungu angalau nasi tukubalike kama ni watu kama wao.  Tulitaka tunukie Uzungu.

Mawaziri wetu wanapalilia udini

Nimepata kuandika katika safu hii, kwamba hali ya udini nchini ni mbaya tofauti na wengi wetu tunavyodhani. Bahati nzuri, wananchi wengi wameshaanza kuiona hatari hii, ambayo si tu inatarajiwa, bali pia imeshaingia katika jamii yetu. Huu ni wakati wa kila mmoja wetu kutumia mbinu halali anayoijua, kushiriki mapambano ya kulinusuru Taifa letu kutoka kwenye hatari hii.