JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kinana apata mtetezi bungeni

*Asafishwa biashara ya meno ya tembo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emanuel Nchimbi, amemtetea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, akisema kampuni yake ya utoaji huduma melini, haikuhusika na usafirishaji meno ya tembo kwenda ughaibuni.

Mwarobaini wa majangili wapatikana

 

Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama imeunda kamati ndogo inayoandaa Mpango Kazi wa kuzuia na kudhibiti ujangili.

Mkono, Lugola aivuruga CCM

 

*Hoja zao, Filikunjombe, zaifanya iwahisi ni Chadema

*Nyoka wa shaba apenya mioyoni mwa wabunge wote

*CCM yaandaa mkakati kuwavua uanachama mwezi ujao

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinajiandaa kuwapa adhabu kali baadhi ya wabunge wake wanaoendesha mijadala ya kuichachafya Serikali bungeni kwa hofu kuwa wanatumiwa na chama kikuu cha upinzani bungeni, Chadema.

KONA YA AFYA

  Jinsi kitambi kinavyoathiri nguvu za kiume, afya Unajitazama katika kioo, lakini unachukizwa! Unachukizwa na mwili wako mwenyewe. Huna la kufanya, unabaki kuhuzunika tu.   Tumbo! Tumbo! Naam, tumbo lako linaonekana kutuna na kutengeneza mkunjo. Linaonekana linaweza kuchukua muda mrefu…

Serikali za Mitaa zimeshindwa kazi?

Tumesikia habari za Serikali za Mitaa. Wakati nchi yetu ilipokuwa chini ya Mjerumani hakukuwa na Serikali za Mitaa. Kulikuwa na Serikali Kuu tu ambayo ni Serikali moja ya nchi nzima.