Latest Posts
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015
Mheshimiwa Spika; Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na…
Machimboni Mirerani kwafukuta
Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Manyara (MAREMA) Tawi la Mirerani, kimepinga taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamishna wa Madini Tanzania, kikisema itavuruga amani na utulivu katika machimbo ya tanzanite ya Mirerani mkoani humo. MAREMA wamesema: “Chama kimepokea kwa masikitiko makubwa…
Wabunge wawe watumishi kwanza
Katika miaka ya karibuni imezoeleka katika masikio ya Watanzania kuwa majukumu ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni uongozi, kutunga sera na sheria, na kusimamia na kuiwajibisha Serikali. Mara nyingi jukumu la kuwakilisha jimbo au kundi la watu…
Dk. Magufuli, hili lazima nikupashe
Kwanza kabisa nitoe pongezi kwako Dk. John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia Makamu wako, Samia Suluhu Hassan. Pongezi zangu hizi kwa viongozi hawa wakuu nchi ni nzito kutokana na changamoto katika…
Rais Magufuli umeanza vizuri, una kazi kutowaangusha Watanzania
Salaamu kwako Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Baada ya salamu, mimi ni mzima na ninaendelea kutega masikio na macho yangu kuhusu kasi uliyoingia nayo madarakani. Rais Magufuli, nakuandikia barua hii kukupongeza, lakini pia kukueleza kwamba pamoja na…
Siku zote ubabe unagharimu (3)
Siku ya kupiga kura Novemba 2, mwaka huu, Dar es Salaam kulikuwa na utulivu na amani kweli. Ni matokeo ya kuitika mwito wa Rais na utiifu wa uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Watu tulipiga kura tukarudi…