JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Athari za misaada kwa mtu mweusi

‘Rediscovering Africa’ ni jina la kipindi kinachorushwa na televisheni ya taifa ya China (CCTV). Maana ya jina hilo kwa lugha ya Kiswahili ni “Igundue tena Afrika”. CCTV huwafikia Watanzania kupitia baadhi ya vituo vya televisheni vya hapa nchini ikiwamo Televisheni…

Safari ya elimu Tanzania

Katika dunia ya leo, ili kila mtu aweze kuboresha maisha yake ni lazima awe na elimu. Elimu ndiyo inayomwezesha mtu kujitambua na kujimiliki yeye mwenyewe kwanza, pia kuzikabili changamoto zinazomsonga, kuyatawala na kuyatumia mazingira yanayomzunguka ili kuboresha maisha yake. Ndani…

Haya ndiyo maajabu ya Dk. Tulia Akson Mwansasu

Siku kama ya jana, Novemba 23, miaka 39 iliyopita katika Kijiji cha Bulyaga, Kata ya Tukuyu, wilayani Rungwe mkoani Mbeya kwenye familia ya Akson Mwansasu, alizaliwa binti kitinda mimba. Ilikuwa ni kiu ya mama ambaye licha ya kuwa na watoto…

HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA WAKATI WA KUTOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE LA KUMI NA MOJA, DODOMA, NOVEMBA 20 2015.

1.Mheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa afya njema na kutuwezesha kutekeleza makujumu yetu vizuri ya Mkutano wa kwanza wa Bunge la kumi na moja ulioanza terehe 17 Novemba, 2015.Nimefarijika  kuwa  kazi  zote zilizopangwa katika ratiba…

Kukataa mabadiliko ni kukaribisha maangamizi

Uchaguzi Mkuu ulioisha wa 2015 umenipa changamoto ya kutafakari, nikichukulia kwamba Uchaguzi Mkuu ni kwa ajili ya kutafuta uongozi wa nchi, nimetafakari kuhusu uongozi na saratani vitu viwili tofauti ambavyo lakini vinafanywa kufanana hapa nchini kwetu bila kukusudia.  Kwa jinsi…

Wapora rasilimali zetu wanastahili kitanzi tu

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia amani na afya njema. Yote tunayaweza kwa sababu yupo aliye Mkuu kuliko vyote. Ni wajibu wetu kumshukuru na kulihimidi Jina lake Takatifu. Tanzania imejaliwa kuwa na maliasili ya kutosha ya wanyamapori, misitu, samaki,…