Latest Posts
Mwanamke anayeng’arisha viatu
Bupe Mwaipopo:
Jina la Bupe limepata umaarufu sana katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha Ubungo (UBT) jijini Dar es Salaam.
TEF, MCT wampongeza Kikwete
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Baraza la Habari Tanzania (MCT) wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa hatua ya kutangaza akiwa jijini London kuwa kuanzia mwakani, Serikali itatunga Sheria ya Haki ya Kupata Habari.
“Hii kwetu ni kama kinyume kabisa, nitakuwaje na sahihi ya jiji na TABOA, bila kuwa na sahihi ya mwajiri wangu? TABOA inamtambua mwenye basi na mimi natambuliwa na mwenye basi ambaye ni mwajiri wangu, kwahiyo naona si sahihi kuwa na kitambulisho ambacho
“Hii kwetu ni kama kinyume kabisa, nitakuwaje na sahihi ya jiji na TABOA, bila kuwa na sahihi ya mwajiri wangu? TABOA inamtambua mwenye basi na mimi natambuliwa na mwenye basi ambaye ni mwajiri wangu, kwahiyo naona si sahihi kuwa na kitambulisho ambacho hakina sahihi ya mwajiri wangu,” kilisema chanzo cha habari.
Ukikamatwa faini Sh 50,000
Kumekuwa na taratibu za kukamatwa kwa vijana wale wote ambao hawana vibali maalum. Baada ya kukamatwa watuhumiwa wamekuwa wakitakiwa kulipa faini ya Sh 50,000, ambayo kwa kwa namna moja ama nyingine haifahamiki kama ni dhamana au adhabu.
FIKRA YA HEKIMA
Kwa hili, Lema amempiku Zitto
shabiki wa soka kuliko michezo mingine kwa muda mrefu. Kama Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, wangekuwa timu mbili za soka zinazopepetana, safari hii ningemshangilia Lema.
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -2
sehemu ya kwanza ya makala haya, wiki iliyopita nilizungumzia chimbuko la vyama vingi vya siasa kabla na baada ya Tanzania kuwa huru. Leo tunaendelea na sehemu ya pili.
Baada ya vyama vya TANU na ASP kuwa imara katika harakati za kudai uhuru, vyama vingine vingi vilianzishwa vikiwa na malengo ama vya kudai uhuru au kupinga harakati za kupigania uhuru na kuendeleza maslahi ya wakoloni kwa mfano, Kule Zanzibar vyama kama Zanzibar and Pemba People Party ZPPP, Umma Party vilianzishwa.
Mambo muhimu kuanzisha biashara
Biashara ni pamoja na hali ya kununua na kuuza kuzalisha mali na kuuza utaalamu wito na makubaliano ya kipekee yenye lengo la kibiashara kwa nia ya kupata faida.