Latest Posts
Waziri aunda mchongo kabla ya kuachia ofisi
Mgogoro mkubwa umeibuka ukiwahusisha wafanyabiashara ya uwindaji wa kitalii na Serikali. Chanzo cha mtafaruku huo ni uamuzi wa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, siku chache kabla kuachia ofisi, kufuta Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za mwaka 2010…
Jaji aamua kuipitia hukumu ya ‘kiaina’ Moshi
Kashfa inayomkabili Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Kilimanjaro, Joachim Tinganga, ya kutoa hukumu yenye utata kisheria kwa mshitakiwa aliyepatikaa na hatia ya kukutwa na mali ya wizi, imefikishwa hatua za juu za uongozi wa Mahakama. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi…
Ardhi yaitesa Wizara ya Nishati na Madini
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya nishati nchini, wamebainisha kuwa moja ya changamoto kuu zinazoikabili sekta hiyo hususan usalama wa nishati, ni upatikanaji wa ardhi kwa ajili ya uendelezaji wa miradi ya umeme. Changamoto hiyo na nyingine kadhaa zilibainishwa hivi…
Afariki na miaka 113
Bibi Carolina Tibakwegomba aliyezaliwa mwaka 1902 katika Kijiji na Kata Kitendagoro, Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 113. Mkuu wa ukoo wa Abakoba, ambao ni ukoo wa bibi huyo, Mzee Khasim Abdalah Karuandila (80)…
Baraza la Magufuli sura mpya
Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amekwepa kihunzi cha wasaka nafasi ya uwaziri waliokuwa wakihaha kuomba nafasi hizo. Habari za uhakika zilizoifikia JAMHURI zinaeleza kuwa kumekuwa na msururu wa wanasiasa nchini…
Polisi hawakutenda haki
Jeshi la Polisi limejipatia sifa kubwa wakati wa kampeni, siku ya upigaji kura na hata wakati wote wa kuhitimishwa kwa shughuli ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Kwa mara ya kwanza, Polisi wa Tanzania walionekana weledi, wavumilivu na wenye staha….