Latest Posts
Hotuba ya Rais Dk. John Maguful
Ndugu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ndugu Katibu Mkuu Kiongozi, Ndugu Wenyeviti wa sekta mbalimbali, Wadau wakubwa wa Sekta Binafsi, Mabibi na Mabwana Nafurahi kwa kusema, kwanza namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha sisi sote kuwapo hapa leo….
Said Bakhresa asalimu amri
Kampuni ya Said Salum Bakhresa imelipa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) dhamana ya Sh bilioni 4.2 kama sehemu ya kuwabana wafanyabiashara waliokwepa kulipa kodi ya makontena zaidi ya 300 yaliyopotea kwenye Bandari Kavu (ICD) ya Azam inayomilikiwa na bilionea…
Mfanyabiashara aichezea mahakama
Mfanyabiashara Lodrick Uronu, ameingia katika mgogoro wa kisheria akituhumiwa kuvunja nyumba iliyopo katika kiwanja Na. 23 Mtaa wa Sokoni, Manispaa ya Moshi bila kuwa na amri halali ya korti. Nyumba hiyo mali ya marehemu Mwanaisha Suleiman na Zubeda Suleiman, ipo…
Nakubaliana na Marando, Tanzania ina bahati
Miaka mitatu iliyopita Mwanasheria maarufu nchini, Mabere Marando alitoa kauli ambayo si mimi tu, bali Watanzania wengi hatukumwelewa. Kauli yenyewe ilikuwa hivi: “Tanzania ni nchi yenye bahati. Ni nchi pekee duniani inayojiendesha bila Rais.” Wapo walioichukulia kama vijembe vya kisiasa,…
Miaka 4 ya JAMHURI, asanteni sana Watanzania
Desemba 6, 2015 Gazeti la JAMHURI lilitimiza miaka minne tangu lilipoanzishwa tarehe kama hiyo mwaka 2011. Wahenga walisema penye nia pana njia, na mgaa gaa na upwa hali wali mkavu! Kudumu kwenye soko lenye ushindani mkubwa wa vyombo vya habari…
Kikwete alitupuuza?
Tulikuwa na Rais ambaye hakuona mbali kuna wakati tuliambiwa kuwa tusiwazungumzie marais wastaafu hata kama hawakufanya vizuri wakati wa utawala wao. Tuwaache wapumzike. Kwa Tanzania si kweli kwamba kuna Rais mstaafu ambaye anapumzika baada ya kumaliza muda wake. Wote wanajihusisha…