Latest Posts
DC Mgomi: Tumieni mikopo kwa matumizi lengwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe MKUU wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, ametoa rai kwa vikundi vya maendeleo vilivyonufaika na mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri kuitumia mikopo hiyo kwa matumizi lengwa sambamba na kukumbuka kuirudisha ili kutoa nafasi…
Tuna mtaji wa imani ya Watanzania – Nchimbi
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka…
Dk Nchimbi awasili Furahisha kwa uzinduzi kampeni Serikali za Mtaa Mwanza
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili leo tarehe 20 Novemba 2024 katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho katika ngapi…