Latest Posts
FIKRA YA HEKIMA
Kagame, Museveni, mkataa wengi ni mchawi
Ndoto za Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kutaka kuzitenga nchi za Tanzania na Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeyeyuka.
Sasa ushindi uko mikononi mwa UTATU MWAMINIFU (Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya).
Kibanda alistahili Tuzo ya Mwangosi
Ni siku ya historia ya pekee hapa Tanzania, siku ambayo mwandishi wa habari Absalom Kibanda na mjane wa Daudi Mwangosi, Itika, wamemwaga machozi mbele ya umati wa waandishi wa habari ukumbini.
EFD kuongeza mapato ya Serikali wapiga kura
Serikali imeamua kuanzisha mfumo wa uotoaji risti kwa kutumia Mashine za Kielekitroniki za Bodi (EFD). Kwa mujibu wavuti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mfumo huo unachukuwa nafasi ya mashine za rejesta za fedha ambazo zimekuwa zikitumika zamani.
Mashine hizo hazikukidhi mahitaji yaliyotarajiwa ikiwa ni pamoja na kurahisisha mauzo kwenye sehemu za biashara.
Mteja na Sayansi ya kununua
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wa gazeti hili, pamoja na wapenzi wa safu hii. Kwa takribani wiki nne sikuwapo hewani kutokana na sababu kadhaa ikiwamo kutingwa na shughuli za kiujasiriamali.
Tendulkar aaga rasmi kriketi
Mchezaji bora zaidi wa Kriketi nchini India mwishoni mwa wiki, ameaga rasmi mchezo huo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 40 anatarajia kumenyana na West Indies katika mchuano wa mwisho wa mashindano ya yajulikanayo kama ,Test, katika uwanja mashuhuri wa Wankhede.
Wasanii wa ‘Bongo’ wanavyotumia vibaya mitandao ya kijamii
Kuna wakati nilikuwa najaribu kuangalia stahili ya maisha ya baadhi ya wasanii wa muziki kutoka katika nchi nyingine. Lengo langu lilikuwa ni kuangalia na kutafuta chanzo cha wasanii wetu kufanya mambo ambayo ni kinyume na maisha ya kibongo.