Latest Posts
Tanzania ikikusanya kodi haihitaji misaada
Tanzania kwa sasa inaweza kujiendesha bila kupata msaada wa nchi yoyote iwapo kasi ya ukusanyaji mapato, kuziba mianya ya uvujaji na matumizi sahihi ya kinachokusanywa itaendelea ilivyo sasa chini ya Rais John Pombe Magufuli. Uchunguzi wa mfumo wa kodi, mbinu…
Diwani CCM avamia barabara, ajenga
Diwani wa Kata ya Kijichi, Anderson Chale, analalamikiwa na wananchi wa mtaa wa Mbagala Kuu, Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam kwa kuvamia eneo la barabara na kujenga jingo. Wananchi hao wanasema kutokana na uvamizi huo uliofanywa kwa makusudi…
Mgogoro wa Z’bar umechusha
Mgogoro wa kisiasa katika Visiwa vya Zanzibar umekuwa na athari kubwa kwa Wazanzibari na Watanzania kwa jumla. Ingawa hatuungi mkono misaada ya masharti, lakini kitendo cha Marekani kuinyima Tanzania msaada kwa sababu ya mgogoro huo, kinapaswa kutuamsha. Tuamke kwa kuhakikisha…
Madiwani wamliza mbunge
Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, mkoani Geita, Hussein Amar Kasu, amejikuta akipigwa na butwaa baada ya mtu aliyemwandaa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri, John Isack John, kushindwa. John, Diwani wa Kata ya Kafita, aliandaliwa mazingira ya ushindi ambapo madiwani 14 kati…
Kashfa ya ufisadi bosi Uhamiaji
Idara ya uhamiaji inafukuta, baada ya uwepo wa taarifa za ununuzi wa kiwanja cha ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya askari wa taasisi hiyo kilichonunuliwa mkoani Mbeya hivi karibuni. Vyanzo vya habari kutoka katika jeshi hilo vimedokeza kuwa viongozi wa…
‘Unga’ wasambaratisha polisi
Wiki moja tu baada ya JAMHURI kuchapisha orodha ya wauzaji na wasafirishaji wa dawa za kulevya, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya uhamisho kwa askari wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni na Mkoa wa Tanga. Habari za uhakika…