Latest Posts
Zuma: Nelson Mandela amepumzika kwa amani
Alhamisi usiku Desemba 5 mwaka huu, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, alitangaza kifo cha Rais wa kwanza mweusi nchini humo, Nelson Mandela, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.
FIKRA YA HEKIMA
Kikwete kwa hili lazima nikupongeze
Jakaya Mrisho Kikwete (JK), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu. Kuna taarifa kwamba umewaongezea muda wa kazi viongozi wa ngazi ya juu katika vyombo vya ulinzi na usalama waliopaswa kustaafu kipindi hiki.
EFD kuongeza mapato ya Serikali – 2
Katia toleo liloyopita mwandishi wa makala haya alizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu ubora, nia na malengo ya Serikali kutumia mashine za kutolea stakabadhi za malipo. Leo anazungumzia matumizi na nani anayeruhusiwa kutengeneza na kusambaza, na nani anayetakiwa kutumia mashine hizo. Endelea…
Kujiajiri kunaanzia kwenye fikra
Kwanza, nianze kwa kutoa salamu za pongezi kwa Watanzania wote kwa kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa nchi yetu jana.
NUKUU ZA WIKI
Julius Nyerere: Kufikiri unajua kila kitu ni hatari
“Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja ya kujifunza tena. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.”
Samata, Ulimwengu kuibeba ‘Kili’ Chalenji
Wachezaji wa TP Mazembe (DRC), Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametajwa kuwa ndiyo wachezaji watakaongoza Jahazi la timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, kutwaa Kombe la Chalenji mwaka huu. Tangu kujiunga kwa wachezaji hao katika timu hiyo kumeonesha kung’ara. Samata …