Latest Posts
Milima, mabonde ya Nelson Mandela
Mpigania haki za weusi na alama kuu ya udhalimu wa mfumo wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Mzee Nelson Madiba Mandela, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu, kutokana na maambukizo ya mapafu kushindwa kutengamaa.
Nyerere na Uhuru wa Tanganyika
Nazungumzia Uhuru wa Tanganyika. Sizungumziii Uhuru wa Tanzania Bara.
Majuzi niliona mabango yaliyosambazwa jijini Dar es Salaam. Mabango hayo yalisomeka “SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA”.
Yah: Mwakyembe, ATC ya Boeing iko wapi?
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa Watanzania wote kutokana na kifo cha Baba wa Taifa la Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela.
Zuma: Nelson Mandela amepumzika kwa amani
Alhamisi usiku Desemba 5 mwaka huu, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, alitangaza kifo cha Rais wa kwanza mweusi nchini humo, Nelson Mandela, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.
FIKRA YA HEKIMA
Kikwete kwa hili lazima nikupongeze
Jakaya Mrisho Kikwete (JK), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu. Kuna taarifa kwamba umewaongezea muda wa kazi viongozi wa ngazi ya juu katika vyombo vya ulinzi na usalama waliopaswa kustaafu kipindi hiki.
EFD kuongeza mapato ya Serikali – 2
Katia toleo liloyopita mwandishi wa makala haya alizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu ubora, nia na malengo ya Serikali kutumia mashine za kutolea stakabadhi za malipo. Leo anazungumzia matumizi na nani anayeruhusiwa kutengeneza na kusambaza, na nani anayetakiwa kutumia mashine hizo. Endelea…