Latest Posts
Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza
Ukraine imeripotiwa kurusha kwenye maeneo ya ndani ya Urusi makombora ya masafa marefu aina ya Storm Shadow yaliyotengenezwa na Uingereza. Hii ni licha ya Urusi kuendelea kuonya dhidi ya hatua ya aina hiyo. Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir…
DED Mji Kibaha akutana na wamiliki na wafanyabiashara vituo vya mafuta
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha ,Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufanyabiashara kihalali na kulipa Kodi ya Serikali kwa wakati. “Nawasihi sana,nipeni ushirikiano ili sote tukishirikiana…
Tanzania yashika nafasi ya tatu uzalishaji madini ya Kinywe ‘Graphite’ Afrika
Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam Tanzania Miongoni mwa Nchi kinara kwa uzalishaji Madini ya Kinywe(Graphite) Afrika inashika nafasi ya 3 ambapo huzalisha kwa asilimia 0.64 kwa mahitaji yote Duniani nafasi ya pili ikifutiwa na Msumbiji 10% huku nafasi ya kwanza…
Dk Biteko ainadi CCM Mara
📌 Asema CCM Inaweza Kazi, Ipewe Kura 📌Rais Samia Ang’ara Miradi ya Maendeleo 📌 Wabunge Waeleza Mafanikio ya CCM Mara 📌 Wananyamongo Waahidi Ushindi CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha…
Waliopoteza maisha ajali ya kuporomoka jengo Kariakoo yafika 20
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam imefika 20. Hayo yamesemwa leo Novemba 20, 2024 na Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea eneo…
Zelensky : Ukraine itapoteza vita ikiwa Marekani itapunguza ufadhili
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliiambia Fox News siku ya Jumanne kwamba Ukraine itapoteza vita ikiwa Washington, mfadhili wake mkuu wa kijeshi, ataondoa ufadhili. Kiongozi huyo wa Ukraine alisema itakuwa “hatari sana iwapo tutapoteza umoja barani Ulaya, na lililo muhimu…