Latest Posts
Bodaboda waomba kumuona Rais Magufuli
Waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda jijini Dar es Salaam wamesema wananyanyasika kupita kiasi kutokana na kukamatwa hovyo na askari na watu wasiofahamu ni kina nani, hivyo wanaomba Rais John Magufuli aingilie kati kuwaokoa. Wakizungumza na JAMHURI mwishoni mwa wiki, wadereva…
Kwanini mabeberu wanachangamkia sana Burundi?
Habari za hivi majuzi zinasema suala la Burundi litajadiliwa na Kamati Maalum ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) linaloshughulikia utatuzi wa migogoro. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Abdullah Mwinyi amesema ujumbe wa Rais Pierre Nkurunziza umekubali kuhudhuria mkutano huo utakaofanyika mjini…
‘Wandu makoko’ (3)
Turudi enzi za Mzee Jumbe, Rais wa Awamu ya Pili, huko Visiwani. Utawala wake ulidhamiria kuleta mageuzi makubwa kule Visiwani. Kwanza alifikiria urais kamili hivyo aliotea nchi huru ya Visiwa vya Zanzibar. Katika azma hiyo alijikuta anawaingiza vijana wasomi katika…
Yah: Kikao cha Bunge na majipu yaliyokomaa ya posho za vikao
Tanzania ni moja kati ya nchi maskini sana duniani kutokana na kutotumia vizuri rasilimali zake na kuziendeleza. Lakini, pia ni nchi mojawapo ambayo utawala wa kujipendelea kisiasa katika kujilimbikizia mali umekithiri, hali ya kimaisha ya wanasiasa ni tofauti kabisa na…
Wadaiwa Sugu MUWSA ni jipu
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA), inahudumia Wakazi wapatao 194,756. Hii ni kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 pamoja na wakazi wengine 30,000 waliopo maeneo ya Wilaya za Hai na…
Ubaguzi Tuzo Oscar: Watu weusi wasusa
Mcheza filamu, raia wa Kenya, Lupita Nyong’o ameungana na wacheza filamu wengine Weusi kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya wale wanaowania tuzo za Oscar. Katika akaunti yake ya Istagram Lupita amesema amekasirishwa sana…