Latest Posts
CHANJO KWA KINGA
Jitihada zimekuwa zikifanywa na binadamu kote duniani tangu zamani ili kumwepusha na kuathiriwa na vinavyoweza kuzorotesha afya yake. Katika utaalamu wa kileo, chanjo za dawa hutumiwa kwa kuzidunga mwilini (vaccination) ili kuamsha chembe za kinga za kimaumbile zizaliane kwa wingi…
Tanzania ya sasa inamfaa Rais Magufuli
Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amesema anapochukua hatua yeye si kichaa, si dikteta, si shetani wala si mnyama, ila ni mpole, lakini amefika mahali lazima afanye hivyo kwani ndani ya…
Kwa hili sote tu wadau (2)
Ilipoishia wiki iliyopita: Nchi za Dunia ya Kwanza (Ulaya) kama zinavyoitwa kimaendeleo, zimepitia machungu mengi tena kwa karne kadhaa ndipo zikafikiria aina ya demokrasia wanayojivunia siku hizi. Wamepitia ile hatua kihistoria tunayoiita “RENAISSANCE” kule Ulaya, wakaanza kuamka lakini waliuana kweli….
Kama ni udikteta wa maendeleo, ebu Rais Magufuli ongeza dozi
Kelele za hapa na pale zimeanza kusikika miongoni mwa Watanzania zikielekezwa kwenye uongozi wa Rais John Magufuli. Wapo walioanza kulia wakisema amekuwa dikteta. Hii inatokana na kasi yake ya ‘kutumbua majipu’, kukaidi vishawishi vya safari za nje, kuwabana wakwepa kodi,…
Yah: Ummy Mwalimu tumbua jipu kwa DDT
Miaka ya nyuma ipatayo kama thelethini hivi nilikuwa mtu mzima, lakini ambaye ni mfugaji na mchungaji mzuri wa mifugo. Kwa wakati ule niliona kazi pekee duniani ni ufugaji hasa wa mbuzi na niliona mbuzi kama mali pekee mtu anayopaswa kuwa…
Shirika la Posta kuongeza kasi ya TEHAMA
Matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA), yameshika kasi na kurahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali kwa urahisi kwa wananchi kuhusiana na masuala ya kijamii, kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa. Kutokana na ukuaji wa kasi ya matumizi hayo ya TEHAMA,…