Latest Posts
Tajiri kizimbani akituhumiwa kughushi nyaraka Moshi
Mfanyabiashara maarufu, Thobias Moshi (47), maarufu kwa jina la ‘Toby’ mkazi wa Shanty Town katika Manispaa ya Moshi, amefikishwa mahakamani akishitakiwa kwa makosa mawili ya kughushi nyaraka. Moshi, ambaye ni Mkurugenzi wa Mabasi ya Amazon na mmliki wa vitegauchumi Moshi…
Magufuli anaheshimu waandishi, nchi itanyooka
Wiki iliyopita sikuandika kwenye safu hii. Sikupata wasaa huo kutokana na ukweli kwamba nilikuwa kwenye harakati za uchaguzi. Naomba kuwashukuru wahariri wenzangu walionichagua kwa kishindo kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Pamoja nami, walichaguliwa Mwenyekiti, Theophil Makunga,…
Serikali sasa itoe mwongozo elimu bure
Tangu shule zimefunguliwe Januari, mwaka huu na Serikali kuanza kutekeleza sera ya elimu bure darasa la kwanza hadi kidato cha nne, kumetokea mambo mengi. Tumesikia wakuu wa shule katika maeneo kama Mwanza, Kagera na Kilimanjaro wakifukuzwa kazi kwa kuchangisha…
Polisi wanatumiwa vibaya
Kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo Polisi wametumiwa vibaya na Serikali, taasisi na watu wengine. Hali hii imetufikisha mahali ambako ile kauli ya siku nyingi kwamba polisi ni usalama wa raia inaonekana haina maana tena. Tumeshuhudia wakati wote polisi wakizuia maandamano…
SSRA yaisemea mifuko ya jamii
Baada ya Gazeti JAMHURI kuchapisha taarifa za kiuchunguzi za mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kuwa katika hali mbaya kifedha kutokana na deni kubwa linaloikabili kwa Serikali kushindwa kulipa madeni yake, hali inayoifanya baadhi ya mifuko kushindwa kulipa mafao kwa…
Hotuba ya Rais Dk. John Magufuli Siku ya Sheria Februari 4, 2016
Mheshimiwa Jaji Mkuu, nafikiri utaungana na mimi mara baada ya hotuba hizi ambazo zilitangulia inawezekana ikaniwia vigumu sana kutafuta maneno mengine ya kuweza kuzungumza. Lakini niseme tu kwa dhati Mheshimiwa Jaji Mkuu, nimefurahi sana kunikaribisha, ili nije nishiriki na ninyi…