JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

ATC ni zaidi ya biashara (1)

Watanzania wamelipokea kwa furaha tamko la Rais John Magufuli kuamua kulifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) lililopotea kwa miaka zaidi ya miaka 16 sasa. ATC ilianzishwa mwaka 1977 baada ya shirika la ndege la East African Airways (EAA) kuvunjika kutokana…

Trump: Ni maoni yake

Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump (pichani), amempongeza kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, siku chache baada ya kiongozi huyo wa dini kutilia shaka kuhusu imani yake ya kidini. Papa amesema kuwa pendekezo la Trump la kujenga…

Hatoki mtu mpaka kifo – Rais Mugabe

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameamua kuweka pamba masikioni,  baada ya kupuuzia wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon, kwa viongozi wa Afrika kuacha kung’ang’ania madaraka kwa muda mrefu. Hakuna ubishi kwamba kauli hiyo ya Ban…

Madeni ya Taifa na mchakato wake (3)

“Kama ingelikuwa ni baina ya watu wawili binafsi (wanakopeshana fedha), na si kati ya mtu binafsi na benki, basi wasingeliweza kuongeza fedha za kwenye mzunguko wa taifa kwa mkopo, kwa sababu mkopeshaji asingaliweza kukopesha kitu ambacho hana, kama ambavyo mabenki…

Je, Kikwete atafanikiwa mgogoro wa Libya?

Februari mosi, mwaka huu tulitangaziwa kuwa Rais (mstaafu) Jakaya Kikwete, ameteuliwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa mwakilishi wake katika kusuluhisha mgogoro wa Libya. Uteuzi huo ulifanywa mjini Addis Ababa katika kikao cha wakuu wa nchi za Afrika, naye Kikwete…

Kwa hili sote tu wadau (4)

Ilipoishia wiki iliyopita: Upinzani mzuri ni ule unaokosoa huku ukiwa na mpango kamili ya sera mbadala ya maendeleo ya Taifa. Kwa maana hiyo bungeni panakuwa na mawaziri wa Serikali kivuli (shadow government with its shadow Cabinet). Endapo Serikali iliyoko madarakani…