JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tatizo la Mtwara ni ubabe wa Serikali

Watu wengi wametia mikono yao magazetini kuandika habari za vurugu zilizoendelea kutokea Mtwara kuhusu suala la gesi.

Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (2)

 

Lakini udhaifu wa wazee wa nchi hii kwamba hatuna Chama cha Wazee wa Taifa hili. Napenda kutoa mawazo yangu juu ya upungufu huu wa aibu katika Taifa kongwe kama Tanzania.

 

Kasaka: Tanganyika imerejea, tukikosea Tanzania itafutika

Mwanasiasa mkongwe nchini, Njelu Kasaka, amezungumza na JAMHURI na kueleza alivyopokea rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Marekebisho ya Katiba. Kasaka alikuwa kiongozi la wabunge 55 mwaka 1993 lililojulikana kama G55 likishiriki kudai Serikali ya Tanganyika. Yafuatayo ni mahojiano kati ya Kasaka na JAMHURI. Endelea…

Vidonda vya tumbo na hatari zake (2)

Tumbo la mtu mzima lina urefu wa takriban inchi 10 (sentimeta 25) na linaweza kutanuka kwa urahisi kiasi cha kubeba robo lita ya (chakula). Chakula hukaa katika tumbo kwa karibu saa nne.

Sisi bodaboda wao wachukue madini

Wiki iliyopita niliandika maono yangu juu ya kifo cha Tanzania. Nimepata ujumbe wa maandishi na simu nyingi. Wapo walioniunga mkono, wengine wamenishambulia. Kwangu, yote ni heri, kwani hiyo ndiyo faida ya demokrasia na uhuru wa kutoa mawazo.

Kenya, Malawi zilivyolingana nguvu

Timu za soka za Malawi na Kenya, wiki iliyopita zilidhihirisha kulingana nguvu kwa kufungana mabao 2-2 mjini Blantyre, katika mechi ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia.