JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wabunge Tarime wajipanga

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa (CCM), ametangaza kuwapeleka bungeni Dodoma, madiwani wa Halmashauri ya Tarime Mjini katika ziara ya mafunzo. Hatua hiyo imekuja baada ya Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, kutangaza hivi karibuni kuwapeleka…

Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne

Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yametangazwa siku nyingi kidogo na watu wengi wamejitahidi kuyachambua. Kwa kuwa na mimi ni mdau wa elimu nachukua nafasi hii kuyachambua. Kuna mambo makubwa yaliyojitokeza katika matokeo ya mtihani huo. Kwanza, kuendelea kufanya vibaya…

Haya ya CCM ni aibu

Kila mara Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetamba kwamba ndicho baba wa mageuzi nchini Tanzania. Kinasema kuwa mwaka 1992, licha ya asilimia 80 ya Watanzania kutaka Taifa letu liendelee kuwa na mfumo wa chama kimoja cha siasa, ndicho kilichopindua maoni hayo…

Rais Magufuli na maslahi mapana ya Taifa (2)

Je, tangu Uhuru hadi mwaka jana wakati wengi wetu tukidai mabadiliko ya sheria, taratibu na kanuni; havikuwapo? Iwapo sheria tena na Katiba ambayo kimsingi ni sheria kuu vipo; iweje Watanzania tudai mabadiliko? Inawezekana waliomtangulia rais wa sasa hawakuvuruga hayo yote;…

Upinzani si kupinga kila kitu

Kambi ya Upinzani bungeni imeanza kuonesha mambo yaliyo kinyume na maana halisi ya upinzani, kuhakikisha inapinga kila kitu kinachokuja mbele yao.  Hilo ni jambo la kusikitisha na kushangaza ikichukuliwa kwamba kambi hiyo imesheheni watu walio waelewa wa mambo mengi mbalimbali….

ATC ni zaidi ya biashara (2)

Kulikuwa na utatanishi juu ya kuleta mwili wake hapa nyumbani kutokea Uingereza mara baada ya kufariki Oktoba 14, mwaka 1999. Uingereza walitoa ndege ya ROYAL AIRFORCE, ili ilete mwili wa Mwalimu Nyerere. Ni usafiri wa bure kama ilivyo kwa Serikali…