Latest Posts
Lembeli: Mbunge mahiri au muuza nchi?
Vyombo kadhaa vya habari vimeandika taarifa za Mjumbe wa Bodi ya African Parks Network (APN), James Lembeli, kuwashitaki wanahabari na wahariri wa vyombo kadhaa vya habari.
Kwenye orodha hiyo, jina la Manyerere Jackton limo. Pamoja nami, kuna makomredi wengine walioamua kwa haki kabisa kusimama kidete kulinda rasilimali za nchi yetu. Wito wangu kwa wote — tusikate tamaa.
Hadi naandika makala haya, sijapokea barua yoyote kutoka, ama kwa Lembeli au katika Mahakama ikinieleza bayana suala hilo. Kwa sababu hiyo, bado taarifa hizi nazichukulia kama taarifa nyingine zisizo rasmi, ingawa lisemwalo lipo, na kama halipo, laja.
Sakata la Tamisemi lachukua sura mpya
Sakata la Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini, kudaiwa kutoa zabuni ya uchapaji wa nyaraka za Serikali kwa Kampuni ya Yuko’s Enterprises Ltd ya mkoani Pwani bila kufuata taratibu limechukua…
JWTZ ngangari
Ofisi ya Waziri Mkuu watumbua fedha dawa za kulevya
Vita dhidi ya dawa za kulevya inakuwa ngumu baada ya watendaji waliokabidhiwa jukumu la kudhibiti biashara hii haramu kuugeuza mradi, mpango wa kutoa matibabu kwa waathirika wa dawa za kulevya.
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini mpango wa kutoa matibabu kwa watu walioathirika na dawa za kulevya unaojulikana kama Medication Assisted Treatment (MAT) uliopaswa kuanza Agosti, mwaka huu tayari umeanza kuhujumiwa.
JWTZ ngangari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) liko tayari wakati wowote kupeleka vikosi vyake kulinda amani nchini Sudan Kusini.
Ujumbe wa Pluijm uzingatiwe
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Hans Van Der Pluijm, ametema nasaha nzito kwa timu hiyo, ambazo zinastahili kuzingatiwa pia na klabu nyingine za soka hapa Tanzania. Akizungumza katika hafla ya kumuaga…
- TRC : Kusimama kwa treni ya mchongoko ni hujuma
- Waziri Silaa mgeni rasmi mkutano wa nane wa Jukwaa la Wahariri kesho
- Bei za Mafuta mwezi Novemba 2024 zaendelea kushuka
- DAWASA yakutana na wananchi Msakuzi kupata hatma huduma ya maji
- Serikali yaeleza jitihada inazochukua kuwezesha matumizi ya gesi kwenye magari
Habari mpya
- TRC : Kusimama kwa treni ya mchongoko ni hujuma
- Waziri Silaa mgeni rasmi mkutano wa nane wa Jukwaa la Wahariri kesho
- Bei za Mafuta mwezi Novemba 2024 zaendelea kushuka
- DAWASA yakutana na wananchi Msakuzi kupata hatma huduma ya maji
- Serikali yaeleza jitihada inazochukua kuwezesha matumizi ya gesi kwenye magari
- Mchango wa vyama vya siasa katika kumwezesha mwanamke kuwa kiongozi
- ‘Uchumi wa buluu una faida kubwa’
- Waziri Kombo atembelea maonesho ya kimataifa ya Biashara CUBA
- Chande azindua misheni ya uangalizi wa Uchaguzi ya SEOM jijini Port – Louis
- Marekani imefuta deni dola bilioni 1 Somalia
- Msuva arudishwa Stars
- Trup ajitangaza mwenyewe kuwa mshindi kiti cha urais Marekani
- Uraia pacha ni hatari kwa usalama wa taifa letu
- Uwekezaji mkubwa sekta ya madini ulivyochagia mapato kuongezeka
- Benjamin Netanyahu amfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Ulinzi