Latest Posts
TBL maji shingoni
Wiki tatu tangu gazeti hili limeanza kuchapisha taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited (TBL) zinazomilikiwa kwa ubia kati ya Watanzania (38%) kupitia Soko la Hisa…
Wakubwa wahujumu tanzanite
Mwekezaji katika mgodi wa uchimbaji wa madini ya tanzanite na mmiliki wa Kampuni ya TanzaniteOne Mining Ltd, anadaiwa kufanya hujuma katika biashara ya madini nchini. Mwekezaji huyo ambaye anamiliki asilimia 50 ya mgodi huo anaelezwa kufanya hujuma ya kutorosha madini…
Polisi ‘waua’ mahabusu Moshi
Askari wa Kitengo cha Intelijensia katika Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, wanatuhumiwa kumpiga na kumuua ndani ya mahabusu, mtuhumiwa Virigili Ludovick Mosha (52). Moshi alikuwa mkazi wa Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini….
Wakuu wa mikoa sasa chapeni kazi
Rais John Magufuli, ameshatangaza wakuu wa mikoa yote 26 ya Tanzania Bara. Kwenye uteuzi huo kuna sura mpya, na sura nyingine zilizozoeleka. Tunawapongeza kwa imani ambayo Rais Magufuli ameionyesha kwao. Kama ilivyokuwa kwa wateule wengine, Watanzania hawatarajii kuona wateule hawa…
Uchaguzi hauna maana Afrika
Kwa maana yake halisi uchaguzi ni njia ya msingi ya jamii ya kujipatia viongozi kidemokrasia. Sifa mojawapo ya uchaguzi wa kidemokrasia au wa huru na haki ni uchaguzi kufanyika kwa siri. Sifa nyingine ni uchaguzi kufanyika mara kwa mara katika vipindi vinavyoeleweka,…