Latest Posts
‘Hatuchukui tena makapi ya CCM’
Niliposoma maneno hayo katika Gazeti la Mwananchi toleo Na. 5098, Jumanne, Julai 8, 2014, ukurasa wa mbele (na maelezo uk. 4: Siasa) nilipigwa na butwaa!
Lakini nilitaka nijiridhishe na kile nilichokisoma kwa kuwapigia simu wahusika — Gazeti la Mwananchi. “Haya mliyoandika mna hakika yametamkwa na Dk. Wilbrod Slaa, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)?”
Tumekubali kuwa punda wa Wakenya
Kulalamika kunalowesha uchumi wetu
Naandika makala hii nikiwa nahudhuria kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Wiki zijazo nitawashirikisha fursa za kibiashara na kiuwekezaji zilizopo Nyanda za Juu Kusini (mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya).
Operesheni saka wachawi yatikisa Geita
Vikongwe waauwa
Operesheni haramu ya mauaji ya kinyama dhidi ya wanawake vikongwe, inayofanywa na kikundi cha Chinja Chinja isipodhibitiwa mkoani wa Geita, kuna hatari ya hazina hiyo muhimu kwenye Taifa kumalizika kwa kuuawa bila hatia.
Mwanamke aliyenusurika kifo kisa dini
Meriam Yahia Ibrahim Ishag au Maryam Yahya Ibrahim Ishaq ni raia wa Sudani kwa anayeishi nchini Marekani katika Jimbo la Philadelphia kwa sasa, kutokana na kukimbia nchini kwake baada ya kupona hukumu ya kifo kwa madai ya kuasi dini yake.
Tuvunje Bunge la Katiba tukawahoji wananchi kama wanataka Muungano
Wiki hii nafahamu kuwa kuna tukio la aina yake nchini. Ni kwa mantiki hiyo, nashindwa kuendelea na mada yangu ya gesi. Naomba niisogeze mbele kwa wiki moja. Yanayotokea ni ya mpito, ila Tanzania itabaki.
- Uraia pacha ni hatari kwa usalama wa taifa letu
- Uwekezaji mkubwa sekta ya madini ulivyochagia mapato kuongezeka
- Benjamin Netanyahu amfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Ulinzi
- Wanamgambo wa RSF wazingira mji wa Al-Hilaliya, jimbo la Al-Jazirah Sudan
- AAT kushirikiana na kikosi cha usalama barabarani kutoa elimu kwa wanafunzi
Habari mpya
- Uraia pacha ni hatari kwa usalama wa taifa letu
- Uwekezaji mkubwa sekta ya madini ulivyochagia mapato kuongezeka
- Benjamin Netanyahu amfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Ulinzi
- Wanamgambo wa RSF wazingira mji wa Al-Hilaliya, jimbo la Al-Jazirah Sudan
- AAT kushirikiana na kikosi cha usalama barabarani kutoa elimu kwa wanafunzi
- Miaka 60 ya Tanzania na China ni zaidi ya diplomasia
- Bilioni 18 zimehusisha matengenezo miundombinu ya BRT si mradi wa Jangwani pekee
- Zaidi ya bilioni 11 kusambaza umeme vitongojini Shinyanga
- Aliyetembea na wanawake 400 achukuliwa hatua
- Jeshi la Korea Kaskazini laingia Urusi
- Mradi ufungaji mifumo ya umeme jua 20,000 mbioni kuanza
- Rais wa mpito wa Chad atishia kuiondoa nchi hiyo kwenye kikosi cha kimataifa cha ulinzi
- Watumishi MSD,CRDB wabadilishana uzoefu na kujifunza utoaji huduma bora
- Tanzania kuwasilisha maandiko ya miradi ya dola bilioni moja COP29
- Mchezo wa raga na taswira mpya ya kimataifa