Latest Posts
Mashabiki wa upinzani wajitazame upya
Tanzania ya leo inafuata mfumo wa vyama vingi. Katikati ya mfumo wa vyama vingi Watanzania wamegawanyika katika makundi makuu matatu.
fikRA YA HEKIMA
Watanzania na imani potofu ziara ya Obama
Ziara ya Rais wa Marekani, Barack Obama, hapa Tanzania imenilazimu kuleta mada hii mapema tofauti na nilivyokusudia awali. Watanzania wengi wamezungumza ya moyoni mwao kuhusu ugeni huu.
Familia ya Barack Obama ni wanamichezo mahiri
Rais wa Marekani, Barack Obama, mke wake, Michelle, watoto wao, Malia na Natasha (Sasha) ni familia ya wanamichezo mahiri.
Barack Hussein Obama ni nani?
Barack Hussein Obama alizaliwa Agosti 4, 1961. Ni Rais wa 44 na Rais wa sasa wa Marekani. Ni Raia wa Marekani na Rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushika wadhifa huo. Pia ni mtu wa kwanza aliyezaliwa Hawaii kushika nafasi hiyo.
FASIHI FASAHA
Haki, ukweli ni nguzo za amani – 4
Katika makala tatu zilizotangulia nimezungumzia baadhi ya viongozi wa dini, siasa na wa serikali kutupilia mbali maadili na miiko ya uongozi na kuwa chanzo cha kutaka kuvunja amani ya nchi. Pili, haki na ukweli ni nguzo za amani.
Walioficha mabilioni Uswisi wahojiwa
*Kwenye orodha wamo majenerali wa JWTZ
*Mboma, Sayore, Yona, Chenge, Mgonja ndani
*AG akiri kazi ni ngumu, aomba waongezwe muda
*Asema mwanga muhimu umeanza kuonekana
Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchunguza Watanzania walioficha fedha kwenye mabenki ughaibuni, imeshawahoji vigogo, wakiwamo mawaziri wa zamani, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wanasiasa na wafanyabiashara maarufu.
Habari mpya
- Mashindano ya kuogelea kitaifa yafana Dar
- Mabweni ya kuchukua wanafunzi 12,000 kujengwa kwa ubia Dar
- Trump anusurika jaribio jingine la mauaji
- Serikali kutumia bilioni 830 kukabiliana na athari za el nino
- Padri Kitima : Ninyi nyote ni ndugu, mkaishi kwa upendo
- Serikali kujenga upya daraja la Mbwemkuru , Nakiu Lindi
- JWTZ waibuka mshindi wa jumla mashindano ya BAMMATA
- Waziri Bashe: Rais Samia hana deni kwa Watanzania katika sekta ya kilimo
- Tuvumiliane na kuheshimiana kama Watanzania -Dk Biteko
- Askofu Bagonza : Mfumo uliopo unaruhusu kupiga kura na si kuchagua
- Rais wa Komoro aliyeshambuiwa na Polisi kwa kisu anaendelea vyema
- Watu 37 wahukumiwa kifo kwa jaribio la mapinduzi DRC
- Tanzania yang’ara Tamasha la Mabalozi Uholanzi 2024
- Waziri Mavunde awataka Watanzania kuchangamkia manunuzi ya bidhaa ya trilioni 3.1 migodini
- Dk Biteko ahimiza wanawake kutumia mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi