Latest Posts
Sumaye awe mkweli, hajawahi kuichukia rushwa
Nianze kwa maneno mepesi. Anachokifanya sasa hivi Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ni kutapatapa. Amegeuka kuwa mtu wa kulalama na kulalamika kila uchao utadhani ndiyo kwanza “anazaliwa”, na wala hajawahi kuwa mmoja wa vigogo wakubwa kabisa Tanzania.
Tusifanye majaribio katika urais 2015
Kadri muda unavyozidi kusonga mbele naona joto la kuwania urais linapanda. Joto hili linapanda kwa wanasiasa, wapambe wao na hata viongozi walioko madarakani wanaanza kuangaliangalia nani watamsaidia kushika dola kisha aendelee ‘kuwaenzi’.
Kikwete awakoroga wagombea urais
Putin anakuja Tanzania
Nyalandu aichongea Ikulu kwa Marekani
*Aona Pinda hana msaada, awatafuta TAHOA
*Alalama wenzake serikalini wanamhujumu
Na Mwandishi Maalumu
Obama anataka niwe Rais Tanzania-Waziri
*Wabunge wakataa ‘hongo’ ya safari ughaibuni aliyowaahidi
*Ripoti aliyowasilisha yatupwa, wasema imejaa ubabaishaji
*Msanii aliyekuwa Marekani na Nyalandu, Aunty Ezekiel anena
Habari mpya
- Aliyetembea na wanawake 400 achukuliwa hatua
- Jeshi la Korea Kaskazini laingia Urusi
- Mradi ufungaji mifumo ya umeme jua 20,000 mbioni kuanza
- Rais wa mpito wa Chad atishia kuiondoa nchi hiyo kwenye kikosi cha kimataifa cha ulinzi
- Watumishi MSD,CRDB wabadilishana uzoefu na kujifunza utoaji huduma bora
- Tanzania kuwasilisha maandiko ya miradi ya dola bilioni moja COP29
- Mchezo wa raga na taswira mpya ya kimataifa
- Watoto 1500 kunufaika na matibabu ya moyo JKCI
- Soma Gazeti la Jamhuri Novemba 5 – 11, 2024
- Ziara ya Iowa Rais Samia amelenga vema
- Wafugaji Arusha wapewa elimu ya ufugaji nyuki
- Tanzania yaendelea vizuri usafirishaji kemikali za sumu
- Watu 47 wanaswa vitendo vya kihalifu
- Serikali kulipa madeni baada ya uhakiki na upatikanaji wa fedha
- NMB yazindua Programu Endelevu ya Fedha ‘NMB Nondo za Pesa’
Copyright 2024