Latest Posts
Mafuriko Cameroon wananchi wahamia nchi jirani ya Chad, Nigeria
Maafisa nchini Cameroon wamesema mafuriko ya karibuni yamesababisha watu 70,000 kutoka katika kambi za muda ambazo zilianzishwa na watu walioathiriwa na mafuriko kwenye mpaka wa kaskazini wa nchi hiyo na Chad na Nigeria. Baadhi ya watu walioathirika na mafuriko sasa…
Lukuvi avitembelea vyama 19 vya siasa vilivyo na usajili wa kudumu
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na uratibu William Lukuvi ameanza kufanya ziara yake kuvitembelea vyama vya siasa 19 vilivyosajiliwa ikiwa ni lengo kutambua shughuli zao wanazozifanya viongozi wa vyama hivyo sambamba…
Serikali ya Korea kudumisha uhusiano uliopo kati yao na Tanzania
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Korea imedhamiria kudumisha uhusiano mkubwa uliopo baina yao na Serikali ya Tanzania. Hatua hiyo imekuja wakati taifa la Korea likiazimisha sikukuu yake ya taifa ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka….
Zaidi ya asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania – Lwamo
– Awaasa vijana kutunza afya, kuwa waaminifu – Awataka kujiepusha na migogoro isiyo na tija Azindua mkutano wa umoja wa vijana migodini Mwandishi Wetu Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku…
TPA kuongeza ufanisi katika bandari zake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani katika soko la Afrika na…