JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ulinzi wa nchi yetu jukumu letu sote

Jeshi la Polisi, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, linapaswa kujipanga kikamlilifu kukabiliana na matukio ya mauaji yanayolikumba Taifa katika kipindi kifupi sasa. Leo nimekumbuka uzalendo wa nchi yetu miaka kadhaa iliyopita. Nimekumbuka uzalendo kwa maana ya kila…

Maisha yanaongozwa na malengo.

Maisha ni malengo. Hakuna maisha ya mkato. Ishi kwa malengo. Tusiishi kwa sababu tunaishi. Tuishi kwa malengo, kwa sababu Mungu ametuumba tuishi kwa malengo. Ungana na Henry James kuamini maneno haya; “Ni muda mwafaka wa kuishi maisha ambayo umeyafikiria kwa muda…

Ndugu Rais, Lila na Fila hazitangamani

Ndugu Rais wiki iliyopita nilikuomba unijalie nimzike Wilson Kabwe! Katika mrejesho nimepokea simu nyingi na ujumbe mwingi wa kutia moyo. Pamoja na upungufu wote tulioumbwa nao kama wanadamu, lakini tunapoandika tunachagua maneno kwa sababu lengo letu kubwa ni kujenga, si…

Kongwa: Kitovu cha Ukombozi Afrika

Kama tunaweza kuandika orodha ya kambi 10 muhimu kihistoria za kijeshi Afrika nzima, naweza kusema bila kusita Kongwa itakuwamo kwenye orodha hiyo. Hata kama sisi tukilala usingizi na historia yetu, viongozi wa nchi za Afrika kamwe hawatasahau Kongwa. Na hata…

Tuwasaidie wazee wayamudu maisha

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya njema na amani kila kukicha. Kusema kweli hatuna budi sisi wanadamu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi anayotutendea ikiwa ni pamoja na uhai, ambao tumejaaliwa kuwa nao kutokana na neema na upendo…

Tuendeleze demokrasia (3)

Viongozi wa Tanzania kuanzia Baba wa Taifa, Mzee Mwinyi, Rais mstaafu Awamu ya Pili,na hivi sasa Rais mstaafu Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa wote hawa kwa namna moja au nyingine wamekuwa wanashughulikia usuluhishi kule Rwanda, Burundi, Sudan na Comoro.  Kumbe…