Latest Posts
Muungwana ni kitendo
Ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo. Hii ni methali chanya na tambuzi kwa mtu yeyote anayejisifu au anayetambuliwa ni muungwana. Muungwana ni mtu mwenye adabu na tabia zinazokubalika katika jamii; adinasi. Maana ya pili mtu asiye mtumwa. Kwa mujibu…
Uingereza waanza dhambi ya ubaguzi
Siku chache zilizopita Waingereza wamepiga kura kujitoa katika Muungano wa Nchi za Ulaya (EU), na haikuchukua muda, thamani ya pauni ya Uingereza ikaporomoka na kufikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu mwaka 1985. Zaidi ya asilimia 52 ya waliopiga kura walipiga…
TFF mnapaswa kujitathmini
Wiki iliyopita, Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilitangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Soka Wilaya ya Kinondoni (KIFA) kwa kile wanachosema kuwa haukufuata utaratibu. Kamati hiyo ya TFF, iliyo chini ya Mwenyekiti Wakili Revocatus Kuul…
Mawaziri wakikwepa kiwanda cha saruji
Wakazi wa kata za Boko na Bunju jijini Dar es Salaam ambao wamekilalamikia kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement (Wazo) kwa kuharibu mazingira wamewalalamikia Mawaziri wa Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushindwa kuchukua hatua kwa kiwanda hicho. Pamoja na…
Tembo, faru hatarini kutoweka
Machafuko ya kisiasa katika nchi za Afrika na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, kumechangia kuzagaa kwa silaha za kivita katika baadhi ya nchi ikiwamo Tanzania, hatua iliyotajwa kuwa kichocheo kikubwa cha mauaji ya tembo nchini. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni…