Latest Posts
MOI yafanikiwa kuanzisha huduma 10 za kibobezi, kuokoa fedha za matibabu nje ya nchi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu (MOI) Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema Taasisi hiyo imefanikiwa kuanzisha huduma zaidi ya 10 za kibobezi ambazo hapo awali ziliwalazimu wagonjwa kuzifuata nje…
Majaliwa aweka jiwe la msingi ujenzi wa Bwawa la Kidinda
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunga litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 Ujenzi wa Bwawa hilo ambalo hadi kukamilika kwake litagharimu shilingi bilioni…
Wamiliki vituo vya kulelea watoto washauriwa kuwapeleka wafanyakazi Chuo cha Ustawi wa Jamii
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wameshauriwa kuwapeleka wafanyakazi wao katika Chuo cha ustawi wa jamii kampasi ya Kisangiro wilayani Mwanga ili wakajifunze mbinu bora za malezi ya watoto wadogo na kuwezesha kuwa na watoto…
Tanzania yashiriki mkutano wa mawasiliano ya simu Hispania
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry William Silaa , ameshiriki katika Mkutano wa Dunia wa Masuala ya Mawasiliano ya Simu (Mobile World Congress 2025) unaofanyika kuanzia tarehe 3 – 5 Machi 2025 katika mji wa…
Rais Samia Tanga, Lissu na ‘…No election’
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita kuna matukio mawili makubwa ambayo yametokea na nadhani kwa uzito wake yanipasa niyaandike katika makala hii. Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara ya kihistoria jijini Tanga. Ameangalia miradi…
Rais wa Bunge la Cuba awasili nchini Tanzania
Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba, Mhe. Esteban Lazo Hernandez, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam Mhe. Hernandez amepokelewa…