Latest Posts
Bunge tena!
Matukio ya ufisadi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yameendelea kuibuliwa, na safari hii yanahusu malipo ya Sh bilioni 6 kwa kampuni ya bima ya Jubilee. Malipo hayo kwa bima ya wabunge na familia zao yalianza kulipwa…
Mahakama yafanya kituko
Hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, imelalamikiwa na Festo Loya, ambaye alisimamiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye shauri la jinai namba 65/2015, lililomhusisha mtuhumiwa Petro Gembe. Akizungumza na JAMHURI, Loya anasema alipeleka shauri hilo mahakamani kutokana…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 5
Majaji, mahakimu ni shida V: WAJIBU WA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI 1. Umma wa Tanzania umekuwa unakerwa sana na kuenea kwa rushwa nchini, hasa ile inayodaiwa na watumishi wa umma katika ngazi za chini kutokana na hali ngumu ya…
Rais Magufuli umemsikia Kikwete!
Wiki iliyopita Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemchagua Rais John Pombe Magufuli kuwa Mwenyekiti wake. Uchaguzi huu umehitimisha minong’ono iliyokuwapo kitambo kuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Rais (mstaafu) Jakaya Kikwete alikuwa na nia ya kung’angania madarakani. Rais Magufuli amepigiwa debe kuomba…
Ndugu Rais wapiganie watu wake naye atakupigania
Ndugu Rais dhamira yako njema kwa nchi yetu na watu wake wanawema wote wanaiona. Ugumu uliopo mbele yako katika kutekeleza dhamira hiyo njema pia wanawema wanauona. Umesongwa na kuzingirwa kila upande. Umefanana na waridi lilisongwa na michongoma yenye miiba mikali…
Serikali kuhamia Dodoma muhimu
Wiki iliyopita Rais John Pombe Magufuli, ambaye sasa ni Mwenyekiti wa CCM ametoa ahadi nzito kuwa atahakikisha Serikali inahamia Dodoma katika kipindi cha miaka minne ijayo. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),…