Latest Posts
Yah: Kuhamia Dodoma itawezekana kwa siasa zetu?
Nimeanza kwa swali hili kutokana na ukweli wa mfumo wetu wa demokrasia kuhoji kila jambo ambalo pengine baadhi yetu tunadhani haliwezekani kutokana na uwezo wetu wa kutafakari mambo. Kuna wakati mwingine kunazuka hoja za msingi, lakini kwa maana ya kupata…
Ni woga au ukweli?
Wanasiasa na wasio wanasiasa walishuhudia kuona na kusikia hekaheka zilizofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuandaa, kuendesha na kusimamia Mkutano Mkuu Maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama hicho, wiki iliyopita mjini Dodoma. Katika utamaduni waliojiwekea wanaCCM, walimchagua kada mwenzao,…
Butiama inahitaji Zimamoto
Mwaka 2008 Serikali ya Awamu ya Nne ya Mzee Jakaya Kikwete, ilipitisha uamuzi wa kuanzishwa kwa wilaya mpya ya Butiama. Baadhi, na siyo wengi, hatukuunga mkono uamuzi huo. Waliyo wengi walifurahia uamuzi huo. Ambao hatukuunga mkono tulitaja uhaba wa ardhi…
Burian Mpigapicha Joseph Senga
Mimi Benjamin Thompson Kasenyenda, nafsi yangu inakataa kuwa kweli Joseph Senga eti ametutoka. Lakini kiuhalisia ndiyo hivyo, ndugu yetu Senga ndiyo ameondoka. Kwa kheri mpendwa wetu. Mcheshi na mtu wa watu. Atakumbukwa na wengi na kwa mengi. Baadhi ni sisi…
Kwanini Soka la EA pasua kichwa?
Mmoja wa Makocha wenye heshima katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (EA), Adel Amrouche aliwahi kutoa maoni yake juu ya kwa nini ukanda huu haupigi hatua katika soka. Kwa wasiomfahamu, amewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Burundi…
Waziri amhujumu Rais
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William ole Nasha, ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotuhumiwa kuihujumu Serikali kwa kuvujisha siri mbalimbali kwa raia wa kigeni. Tayari kuna taarifa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimepanga kumhoji juu ya ushirika…