JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

FFU waikosesha TRA mabilioni

Serikali ya Awamu ya Tano ikiwa inahaha kuongeza mapato, kampuni moja ya mafuta inayolipa kodi ya wastani wa Sh bilioni 3 hadi Sh bilioni 4 kwa mwezi, imefungiwa ofisi zake kutokana na mgogoro wa ardhi usioihusu, JAMHURI limebaini. Kwa hatua…

‘Nateseka, walimwengu nisaidieni’

Simu yenye namba 0768 299534 inaita. Kwenye orodha ya namba nilizonazo haimo. Ni namba mpya. Napokea, na mara moja nasikia sauti ya unyonge ikilitaja jina langu. Bila kuchelewa anataja jina lake. ‘Naitwa Mangazeni, nipo hapa Butiama, naomba ndugu yangu unisaidie…

Ndugu Rais dunia hadaa ulimwengu shujaa!

Ndugu Rais, dunia imeshuhudua aliyemua Daudi Mwangosi kikatili akifungwa gerezani kwa miaka 15! Daudi Mwangosi hakuwa anaandamana! Alikuwa anatafuta habari! Kwa polisi wetu lile lilikuwa kosa kubwa ambalo lilimgharimu uhai wake! Kabla ya kuuawa Daudi Mwangosi alipigwa kinyama, alipigwa kijambazi,…

Tulipe kodi kwa maendeleo yetu

Awali ya yote naomba nichukue nafasi hii kwa kupitia Gazati hili la JAMHURI niweze kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye anatukrimia mema mengi katika maisha yetu ya kila siku.  Naamini kwamba tunaweza kuyamudu maisha yetu ya kila…

“TUEPUKE SUMU HIZI” (2)

Katika kikao kimojawapo cha KAMATI KUU ya TANU, Sheikh Takadiri alidiriki kusema hivi “mtu huyu hatakuja kuwapendelea waislamu” (This man will never come to favour us, he would come to favouri his brethren); Mwalimu aliumizwa kwa mashtaka namna ile hata…

Itikadi, kansa kwa viongozi wa kisiasa

Ni vyema nianze kwa kuweka wazi kwamba nilikuwa sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hadi katikati ya mwaka 2016. Ilikuwa tukio la kihistoria kwangu baada ya kuvifuatilia kwa kina vyama vyote kwa muda mrefu. Katika kuelezea kilichonisukuma hadi…