JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Magufuli, Kagame moto

Uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda umeimarika kwa kiwango cha hali ya juu na sasa Rais wa Rwanda, Paul Kagame amekubaliana na Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Mafuli mizigo yote ya nchi hiyo ianze kupitia Bandari ya Dar es…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 7

Uteuzi unanuka upendeleo serikalini   Ukiukwaji taratibu na udhaifu katika usimamizi  80. Sheria na taratibu za utumishi zilizowekwa na Serikali kimsingi ni nzuri na endapo zinatekelezwa ipasavyo, utendaji wa Serikali utakuwa mzuri. Kinyume na matakwa ya sheria na taratibu hizo,…

Mtanzania awa bosi Afrika

Mchumi kutoka Tanzania, Dk. Frannie Leautier ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais Mwandamizi katika kundi la Benki ya Mendeleo ya Afrika (AfDB). Benki hiyo ilimtangaza rasmi mwezi Mei, mwaka huu. Dk. Frannie alikuwa  Mwenyekiti na mwanzilishi mwenza wa Mkopa Private Equity…

Rais Magufuli anamjenga Lissu

Wiki iliyopita vyombo vya habari vimetangaza habari nyingi za kukamatwa, kusafirishwa, kushikiliwa polisi, kufunguliwa kesi mahakamani, kesi kuendelea hadi saa 3:00 usiku na kisha Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kujidhamini. Binafsi sina nia ya kurejea matamshi ya Lissu,…

Bunge lafafanua tuhuma dhidi yake

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limefafanua tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na Gazeti la JAMHURI hivi karibuni kuhusiana na ajira za upendeleo, matumizi mabaya ya ofisi, muundo mbovu, kuajiri watoto wa vigogo na nyingine. Mkurugenzi wa Ofisi ya Spika,…

Rais Magufuli turudi msitarini

Katika siku za karibuni kumekuwa na mtanziko mkubwa wa kisiasa nchini, huku Rais John Magufuli akizidi kusisitiza kwamba muda wa kufanya siasa umekwisha kilikochoko ni kusaidia wananchi kufikia maisha bora wanayostahili. Huku Rais Magufuli akisema hayo, chama kikuu cha upinzani…