JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Donald Trump asuguana na Mexico

Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, amesisitiza kwamba Mexico italipia ukuta utakaojengwa mpakani kuzuia raia wake kuingia Marekani asilimia 100 iwapo atashinda urais. Wakati wa hotuba yake muhimu kuhusu sera ya uhamiaji, Trump anasema atafutilia mbali…

Kusoma si kuelimika (3)

Kumbe, mwanadamu huyu anaweza kutumia vitambulisho hivyo isivyostahiki eti arahisishe maisha yake. Ndipo anaweza kugushi hati na akafanikiwa kudanganya akapata riziki kwa kazi asiyokuwa na ujuzi nayo. Hapo ndipo anapotumia vyeti au hati feki. Aidha ana utambulisho sahihi (hati au…

Kumbe inawezekana

Rais John Magufuli, alipoapishwa kuongoza Taifa letu, nilisema endapo sheria za nchi zitatambuliwa, kuheshimiwa na kusimamiwa, kazi yake ya kuongoza haitakuwa ngumu. Kweli, siku chache baada ya kuingia madarakani, yapo mambo mengi mazuri aliyoyafanya kwa nia moja tu ya kuirejesha…

Yah: Bado kuna umuhimu wa kukumbushana mambo ya msingi

Kuna wakati huwa nakumbuka jitihada za Serikali kutukusanya pamoja katika vijiji vya Ujamaa miaka ile ya operesheni sogeza vijiji, ili wananchi tupate huduma za jamii wote kwa pamoja zilizokuwa zikitolewa bure na Serikali, huduma za maji, elimu, afya na ulinzi. Operesheni…

Samatta kuitangaza Tanzania ughaibuni

“Kuwa mbali na umaskini, ni hali iliyo njema mno.  Na afya kama haba mwilini, ni taabu haina mfano.  Kuwa na rafiki sheriani, uborawe si wa mlingano. Hushinda fedha ya mfukoni isiyoweza kutenda neno.   Na laiti si machukiano, tungalikuwa wote…

Samatta kuitangaza Tanzania ughaibuni

Serikali sasa imeamua kumtumia Mbwana Samatta katika kuuza utalii wa Tanzania duniani. Samatta anasakata soka katika klabu ya Genk, Ubelgiji.  Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii, imetangaza nia ya kuanza kumtumia mchezaji huyo pekee anayecheza soka la…