JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Muuguzi Geita adaiwa kudai rushwa

Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Geita (DNO), Ifigenia Chagula, analalamikiwa na baadhi ya wamiliki wa vyuo binafsi vya uuguzi na ukunga kwa kuomba rushwa kwa kushinikiza.   Hata hivyo, wamiliki hao hawajatekeleza maagizo ya Chagula ambaye sasa inadaiwa…

Tukicheza hakuna uchaguzi Oktoba

“Mheshimiwa Rais, Kenya imewachukua miaka saba kuandika Katiba yao, baada ya mvutano wa miaka 20. Je, sisi Tanzania unadhani tunaweza kuandika Katiba yetu ndani ya miaka miwili?” Hili ni swali nililomuuliza Rais Jakaya Kikwete tukiwa Ikulu, siku ya Ijumaa, Aprili…

Rais Buhari kuinusuru Nigeria

Hakuna ubishi kwamba Marekani ni taifa kubwa kwa kujiimarisha kiuchumi na kiusalama. Kadhalika, hakuna ubishi kwamba rais wa Marekani ndiye anayetafsiriwa kuwa ni kiongozi wa dunia. Hii inatokana na vyombo vikubwa vya uamuzi kama vile Umoja wa Mataifa (UN) vinaisikiliza…

Faili kesi ya mauaji ‘lapotea’ Moshi

Jalada la kesi ya mauaji ya Meneja wa Baa ya Mo-Town mjini Moshi, James John Massawe, limepotea katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Mkoa wa Kilimanjaro.  Massawe aliuawa Juni 9, 2009 katika Kijiji cha Kindi…

Inakumbukwa Richmond inasahaulika Escrow!

Baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana, maajabu waliyo nayo mengi yamejifunga kwenye kitu kinachoitwa “mizengwe”, tabia ya kufanyiana roho mbaya hata kama kufanya hivyo hakumnufaishi yeyote, huku wakikiacha chenye manufaa kwao au kukosa kulishughulikia tatizo lililo na madhara…

‘Drones’ zitaua uhuru wa Afrika

Waafrika tulipokuwa tunaimba na kucheza ngoma, kusherehekea uhuru na matunda yake, vizazi vya waliokuwa wakoloni vilikuwa vinakuna vichwa kutafuta jinsi na namna ya kufuta hiyo furaha kutoka kwenye nyuso zetu milele.   Uchambuzi wa kina waliufanya kujua kilichosabisha wakoloni washindwe…