JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Samahani Mheshimiwa Rais Magufuli

Naandika makala hii dakika chache baada ya kufika jijini Accra, Ghana. Nimetoka Dar es Salaam jana na juzi nilisikia maneno aliyozungumza Mheshimiwa Rais John Pombe Mafuguli, alipopata fursa ya kutembelea Pemba kushukuru wapigakura. Nikiri kwanza kwamba Rais wetu anafanya jambo…

Tafakuri ya miaka 20 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania

Mengi yamesemwa katika miezi minane iliyopita juu ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dk. John Pombe Magufuli (JPM) katika ukusanyaji wa kodi. Mara tu baada ya JPM kuchukua hatamu za uongozi tulishuhudia hatua mbalimbali zikichukuliwa baada…

Serikali za Mitaa ndio injini ya maendeleo

Mada ya Mzee Zuzu wa Kijiji Kipatimo juu ya: “Kuhamia Dodoma itawezekana kwa siasa zetu?” Naandika kuhusu maoni yako uliyotoa katika Gazeti la Jamhuri (Augusti 2 – 8, 2016). Umesema kwamba unakubaliana na dhana ya kuhamishia Makao Makuu ya Serikali…

Ndugu Rais umefanya vema kuwaonesha viongozi wa dini mipaka yao!

Ndugu Rais, siku ya kuoneshana shari imepita! Busara kubwa imetumika kuipisha siku ya kihoro! Lakini tukiendeleza hali hii, siku za aina hiyo zitakuwa nyingi huko tuendako! Hatujui wana busara kubwa kiasi gani, lakini kwa hili walioitikia ushauri wa viongozi wengine…

Wanahabari, wadau wa utalii tuwajibu Wakenya

Kwa muda mrefu nimekuwa na tabia ya kutazama luninga na kujisomea magazeti ya Kenya, si tu kwamba nijiongezee ufahamu wangu kama mwandishi wa habari, bali pia ni kutokana na ukweli wa kuwahi kufanya kazi na kampuni moja kubwa ya habari…

Uchaguzi waacha sintofahamu Gabon

Pamoja na kila mgombea kujitangaza mshindi katika uchaguzi wa urais nchini Gabon, hatimaye Tume ya Uchaguzi ya Gabon (CENAP) imemtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi wa uchaguzi kwa kujipatia asilimia 49.85 ya kura ikilinganishwa na mpinzani wake Jean Ping aliyepata…