Latest Posts
Benki yakaidi amri ya Mahakama
Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) tawi la Tanzania, imekaidi amri ya Mahakama Kuu, Kitengo cha Kazi, kwa kutomlipa aliyekuwa mfanyakazi wake fidia shilingi milioni 15, baada ya kukatisha ajira yake. Hukumu hiyo ilitolewa mwaka 2014 na Jaji Ibrahimu Mipawa,…
Dawa za kulevya bado ni janga
Matumizi ya dawa za kulevya nchini yameongezeka katika kipindi cha miaka miwili kwa asilimia 75 katika Mkoa wa Dar es Salaam. Zaidi ya wahanga 3,000 wa dawa za kulevya wanaendelea kupatiwa dawa (Methadone) katika vituo vya afya vitatu hapa nchini…
Jaji Mtungi ajitosa usuluhishi CUF
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeingilia kati mgogoro wa uongozi unaoendelea kufukuta ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), baada ya kuanza kuzisikiliza pande zinazosigana. Mgogoro huo umeibuka hivi karibuni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Ibrahim…
Yatakayomkwamisha Rais Magufuli… (2)
“Tanzania sawa na Hamaphrodite anayeona aibu kujitangaza” Nakiri kutoka moyoni kwamba simtakii mabaya Rais Magufuli wala simtabirii kushindwa, sitafurahi akikwama kuifanyia nchi yetu jema lolote alilodhamiria.Nayaweka wazi mazingira yanayoweza kumkwamisha ili akiweza ajiepushe. La kwanza linaloweza kumkwamisha ni kuthubutu kuurudisha…
Sheria ya mito na bahari…2
Sababu ya Ukoloni Mamboleo ni hiyo hiyo: ni kulinda mirija ya wakubwa. Na madhali mirija ya wakubwa inalindwa, wakubwa wataendelea kutajirika na nyinyi waswahili mtaendelea kuwa masikini. Hivyo ndiyo sababu ya kwanza ya unyonjaji. Sababu ya pili ni ile ambayo…
Afrika inamheshimu Rais Magufuli
Leo naitafuta wiki ya pili tangu nifike hapa Accra, Ghana. Naendelea na mafunzo juu ya mafuta, gesi na madini. Mafunzo haya yanalenga kuwapa utaalam watu mbalimbali; waandishi, makarani wa bunge, maafisa wa serikali, vyama vya kijamii, viongozi wa jadi na…