JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mkopo: Namna ya kuokoa nyumba, kiwanja kisiuzwe

Wakopaji nao wana haki zao. Yapo mambo ya msingi ambayo wanapaswa kuyajua ili yakulinde iwapo mambo yamewaendea vibaya. Ukweli ni kuwa ni busara unapokopa kulipa deni, lakini iwapo sababu za kibinadamu zimejitokeza, ambazo ziko nje ya uwezo wa mkopaji na…

Ni vema kudhibiti nguvu ya fedha

Kimsingi fedha inapomjia mtu huwa inaambatana na nguvu fulani kubwa sana yenye chembe chembe za umiliki. Ni vema tukafahamu kuwa duniani kuna nguvu nyingi sana, lakini nguvu ya fedha pamoja na nguvu ya mamlaka zinatawala nguvu nyingine kwa sehemu kubwa….

Weusi wa Balotelli watikisa

Mshambuliaji wa Liverpool, Mtaliano Mario Balotelli, ndiye mchezaji aliyebaguliwa zaidi katika Ligi Kuu ya England, imefahamika.  Taarifa zinasema kwamba mchezaji huyo hupokea ujumbe wa aina mbalimbali katika mitandao ya Twitter, Facebook, Instagram na WhatsApp ambako jumla yake ni 8,000 kwa…

Morris, Kipre warudi Azam

Mara baada ya kuwatosa kwa muda wachezaji wake, Kipre Tchetche na Aggrey Morris, timu ya soka ya Azam FC imewarejesha haraka ili kujiweka sawa kwa ajili ya kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara.  Wachezaji hao walifungiwa kucheza mechi nne baada…

ACT kimbunga

Kumekuwapo mikutano ya siri inayowahusisha viongozi waandamizi wa Chama cha ACT-Wazalendo na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao hawana hakika kama watatendewa haki wakati wa kupitishwa kwa majina ya wagombea urais. Mazungumzo hayo yamelenga kufungua njia kwa…

Ugaidi Tanzania

Serikali imetakiwa iwe makini kuhakikisha inavitumia vyombo vyake vya ulinzi na usalama na wananchi kukabiliana na tishio la makundi ya kigaidi, hasa al-Shaabab kutoka Somalia. Mbunge wa Kigoma Kusini – NCCR-Mageuzi, David Kafulila ameliambia JAMHURI kwamba Tanzania inapaswa kuwa makini….