Latest Posts
Mbowe: Tunaingia Ikulu Oktoba 2015
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anasema; “Rais Jakaya Kikwete na CCM yake wamekwama na atatukabidhi nchi Oktoba.” Mbowe, ambaye yuko kwenye ziara ya kuimarisha chama katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, anasema kwamba kukwama kwa…
Yanayoendelea Afrika Kusini ni mwendelezo wa ubeberu
Hisia tupu hazitusaidii kuzikabili changamoto zenye uhalisia mwingi. Kiendeleacho Afrika Kusini ni matokeo ya muda mrefu wa kupandwa kwa saratani ya ubaguzi wa kijamii, kisiasa na kiuchumi. Haiyumkiniki ni kile kitarajiwacho baada ya jamii na tawala kujisahau, wakatokea kudunisha baadhi…
Nape asimamia msimamo Panga CCM liko palepale
Na Angela Kiwia Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, anasema kwamba kada yeyote atakayepatikana na hatia ya kukiuka maagizo au taratibu za Chama Cha Mapinduzi (CCM), atachujwa tu. Kadhalika, amesema kwamba kwa watakaokatwa…
Kikwete ana mgombea wake kwenye koti
Kwa muda sasa nimefuatilia kinachoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nimefuatilia kwa karibu kitu kinachoitwa mchakato wa kumpata mgombea urais kupitia chama hicho kikongwe. Bila kuuma maneno, nasema mchakato umejaa mizengwe. Bila kupepesa macho nasema inawezekana Rais Jakaya Kikwete…
Kweli Afrika Kusini wamesahau fadhila?
Moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili katika toleo lililopita ilihusu tamko la Mfalme wa Kwa Zulu Natal, Goodwill Zwelethini, aliyechanganya mambo. Mfalme Zwelethini anatajwa kuwa nyuma ya vurugu zilizotikisa Afrika Kusini wiki kadhaa zilizopita, ambako aliwaambia wananchi, “Wageni…
CCM ni ya kuzikwa tu Oktoba 2015
Watanzania, mabadiliko ni leo si kesho; mabadiliko ni wiki hii si wiki ijayo; ni mwezi huu si ujao, mabadiliko ni mwaka huu si mwakani. Kesho hujaiona na hujui itakuaje, lakini uamuzi wako wa leo unaweza kuharibu kesho yako au unaweza…