Latest Posts
Nyerere: Mwasisi wa wazo la Bima ya Afya
Upeo wa fikra na uwezo wa kuona mbali aliokuwa nao Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ndiyo unaotufanya tuendelee kumkumbuka leo hii kama kiongozi wa watu, tofauti na viongozi wengi wa wakati wake na pengine hata wa sasa tulionao…
Ndugu Rais kipi kianze? (2)
Ndugu Rais, imenilazimu niisemee kidogo makala yangu ya wiki iliyopita iliyokuwa na kichwa cha habari ‘Kipi kianze’. Imenilazimu kufanya hivi kutokana na ukweli kwamba kuna baadhi ya wasomaji hata kama ni wachache, au hawakuupata ujumbe uliokusudiwa au kwa makusudi wanaonekana…
Antonio Guterres ni nani?
Ni wazi sasa Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno, Antonio Guterres, ndiye Katibu Mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa. Anatarajiwa kuanza kazi rasmi Januari 2017 Katibu Mkuu wa sasa, Ban Ki-moon atakapomaliza muda wake. Kwa sasa, kiongozi huyo anasubiri kuthibitishwa…
Kuaminiana: Msingi wa Muungano
Watanzania naona tu wasahaulifu kwa kiwango fulani. Hii tabia inaturudisha nyuma kimaendeleo, maana kila tunapopiga hatua ya kuimarisha Muungano wetu basi kwa ule usahaulifu uliopo tunajikuta tunavutwa kuangukia nyuma hatua kadhaa. Tunabaki tunalumbana na kuchokonoa hili au lile kuhusu Muungano….
Kifo cha Mwalimu: Rais Magufuli amewafuta machozi wengi
Wiki hii Watanzania na watu wa mataifa mbalimbali duniani, tunafanya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere ni miongoni mwa binadamu wachache ambao ni vigumu mno kuwaelezea. Tena basi, ni wachache wanaoweza kusimama na…
Yah: Usalama wa Watanzania ni suala la kila Mtanzania
Ni dhahiri kuwa sasa kila mtu anajua haki za msingi za kuweza kuishi maisha ya furaha na amani ndani ya nchi yetu bila kujali tofauti zilizopo katika dini, kabila, jinsia na hata umri. Hii ni tunu ambayo tunapaswa kuiendeleza kwa…