JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ni zamu ya William Ngeleja

Wakati makada wa CCM wenye nia ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete wakiendelea kutangaza nia zao, imedhihirika kwamba William Ngeleja naye atafanya hivyo Alhamisi wiki hii. Taarifa ambazo gazeti hili imezinasa zinasema kwamba Ngeleja – mbunge wa Jimbo la Sengerema atatangaza…

Magufuli aibua mtikisiko urais

Uamuzi wa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kutangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umezidi kunogesha mchuano wa kuwania nafasi hiyo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa muda mrefu sasa, Waziri huyo amekuwa akitajwa kuwa…

Katika hili, tunaiomba Serikali itumie busara

Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT) kimeunda timu maalum itakayokwenda bungeni Dodoma, kuwashawishi wabunge wasiupitishe muswada wa Sheria wa Vyombo vya Habari baada ya kubaini umejaa kasoro. Muswada huo ulioandaliwa na Serikali, ulitakiwa kuwasilishwa katika kikao kilichopita kwa…

CCM wana la kujifunza

2015 ni mwaka ambao macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kuwa katika kipindi cha changamoto ya wanachama wake ambao wanasaka nafasi ya ukubwa wa nchi. CCM inakumbana na changamoto ya wanachama wake kupigana…

Wanawake wabakwa, nyumba zateketezwa

Wanawake tisa wa Kijiji cha Mabwegere, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wamelishutumu Jeshi la Polisi wilayani humo kwa kuharibu ushahidi, baada ya kubakwa na kikundi cha vijana wa ‘mwano’ kilichovamia eneo hilo na kuteketeza nyumba kwa moto. Wanawake hao pamoja…

Polisi tatizo migogoro Morogoro – Makalla

Baada ya wananchi wa Wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro kuwataja wabunge wa mkoa huo kuhusika na migogoro kati ya wakulima na wafugaji, Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla, amesema chanzo ni udhaifu wa Jeshi la Polisi. Amos Makalla, ambaye…