JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Buriani Castro, wajamaa watakukumbuka

Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani, lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani. Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake kama kiongozi wa ujamaa, askari mwanasiasa ambaye aliirejesha Cuba mikononi mwa watu. Lakini alikabiliwa…

Ndugu Rais wasipokemewa hawa vijana taifa linaangamia!

Ndugu Rais maandiko yanasema katika nchi yoyote hapa duniani, wenye hekima na busara wakinyamaza, wapumbavu na wajinga huongezeka na nchi ikaangamia! Kwa udhaifu wake mwanadamu anajiuliza, kwanini basi katika kuumba ulimwengu Mungu aliumba na wajinga na wapumbavu na akawaweka katika…

Marekani kubadili sheria ya uchaguzi

Serikali ya Kenya ilitangaza hivi majuzi kuwa inaahirisha kwa muda wa miezi sita uamuzi wake wa kuifunga kambi ya wakimbizi ya Daadab iliyo karibu na mpaka wake na Somalia.  Hapo awali Kenya iliamua kuanza kuifunga kambi hiyo mwishoni mwa Novemba…

“Demokrasia siyo mchezo wa kutazamwa tu”

Katika uchaguzi wa Urais kule Marekani mwaka huu 2016, mjini Pheledaphia kulikuwa na zomeazomea wakati Chama cha Democrats kikimteua Hillary Clinton kuwa mgombea Urais wake. Rais Obama alisema hivi, “Don’t boo, vote” you’ve got to get in the arena …because…

Tuzidishe mapambano dhidi ya ujangili

Awali ya yote napenda nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua ambayo tumefikia katika kupambana na ujangili nchini Tanzania. Hakika ujangili umeshamiri sana katika taifa letu siyo tu kwa meno ya tembo peke yake bali hata kwa nyara nyingine za…

Katu ushoga haukubaliki Tanzania

Hivi karibuni, chombo kimoja cha habari nchini kimemnukuu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe, akisema kuwa Serikali haihitaji ushauri wala ushawishi wa chombo  chochote cha ndani ama nje ya nchi, kuhusu masuala ya ushoga na ndoa za jinsia…