JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Vijana wapewe nafasi Uchaguzi Mkuu (1)

Nchi imekuwa katika hali ya wasiwasi na ya sintofahamu juu ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Aidha, pamekuwapo minong’ono au ati kuwa huenda uchaguzi usifanyike mwaka huu wa 2015. Huko nyuma kama tunakumbuka Waziri Mkuu aliwahi kusema bungeni kuwa Uchaguzi…

Pinda angepumzika tu

Miaka kadhaa iliyopita, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliwaita wahariri wa vyombo vya habari ofisini kwake, Dar es Salaam. Akazungumza mambo mengi. Nilipata bahati ya kualikwa, na ya kumuuliza swali. Swali langu, ukiacha ule mgogoro alioshindwa kuutatua- mgogoro wa ardhi Kwembe-Kati,…

Yah: Kuna koo za uongozi, koo za biashara

Nakumbuka zamani wakati wa machifu, waliokuwa viongozi wetu wa kijadi, walikuwa wanamiliki mashamba kidogo, wake kidogo, na mali ya jamii inayowazunguka. Mali iliyomilikiwa na chifu na ambayo kimsingi ilikuwa ya jamii ni pamoja na mashamba, chakula, busara, na uamuzi mzito…

Miaka 39 imetimu, tuendelee kuomboleza mauaji Soweto

Leo ni Juni 16, 2015. Tarehe kama hii mwaka 1976 katika mji wa Soweto nchini Afrika Kusini, watoto wa shule wapatao 600 waliuawa na utawala wa Wazungu (makaburu) kwa kumiminiwa risasi za moto wakiwa katika maandamano ya amani kupinga mtaala mpya…

Siasa zinaishia getini

Moja ya majukumu yangu nikiwa Butiama ni usimamizi wa kutangaza Kijiji cha Butiama kama kivutio cha utalii ndani ya programu ya Utalii wa Utamaduni inayoratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania. Butiama inajumuisha vivutio vya utalii vya aina mbalimbali, ikiwa ni…

Ada ya kutafuta hati ya nyumba, kiwanja

Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina yaani kutoka mmiliki wa mwanzo kwenda kwa mmiliki mpya aliyenunua. Upo usumbufu ambao husababishwa kwa makusudi na maafisa wanaohusika, lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka…