Latest Posts
Ndugu Rais umekisikia kilio chao!
Ndugu Rais, kwa unyenyekevu mkubwa nakusihi ulitegee sikio lako huku kunena kwangu mimi mtumishi wako nisiyestahili. Kusema polisi wanatumika vibaya umegusa, ‘penyewe’! Taifa limekusikia na wananchi wamekusikia pia! Ubarikiwe sana kwa kuwarudisha masikini wa Nyalingoko katika mashimo yao wanakohangaika kutafuta…
Mitandao ya Jinsia lawamani
Wadau mbalimbali wameituhumu mitandao inayojishughulisha na masuala ya kupinga ukatili wa kijinsia, kwa kile kinachodaiwa kuwa imekuwa ikitumika kisiasa ikiwa ni pamoja na kuitumia mitandao kama sehemu ya vitegauchumi vyao. Vyanzo vya habari vimeidokeza JAMHURI kwamba asilimia kubwa ya mitandao…
Adha ya ‘Double allocation’
Jamani, mambo haya ya kiwanja kimoja kugawiwa watu zaidi ya mmoja, wenyewe kule Ardhi wanaita “double allocation” myasikiege tu, yakikufika ndipo utakapo jua hasa adha yake ni nini! Mimi ninayaandika yaliyonipata katika hiyo inayojulikana kama “double allocation”. Kuna wananchi wengi…
Ushauri kwa Rais Magufuli
Ndugu Rais, salaam. Utii wangu kwako hauna shaka yoyote tangu nilipokufahamu ukiwa mwanasiasa chipukizi, nami nikiwa mwandishi mchanga wa habari. Mapenzi yako kwa Watanzania yananishawishi nivutiwe kukuita ‘Ndugu Rais’. Ushujaa na misimamo yako si tu kwamba vilinishawishi nivutiwe na uongozi…
Yah: Hii ni ndoto mbaya sana lakini sina budi kuikubali
N awaza sana na huwa naona ni kama hadithi au ndoto iliyoisha muda wake, naona kama kumekucha ni asubuhi na mapema najinyoosha kitandani, ni ndoto mfu, ndoto ya mchana nikiwa macho natembea, ndoto ya kweli lakini alinacha, kuna uhalisia zaidi…
Kutii mamlaka tatu ni wajibu
Nakumbuka nilipokuwa mtoto na baadaye kijana, nilielezwa na kufundwa na wazazi na walimu wangu shuleni niwe na ulimi fasaha na niogope, nitii na niheshimu mamlaka kuu tatu duniani, ili niweze kuchukuana na mamlaka hizo pamoja na walimwengu wanao nizunguuka. Hadi…