JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chuo cha sukari matatani

Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Sukari Tanzania (NSI) kilichopo Morogoro, umelalamikiwa kwa kukiendesha chuo kama taasisi binafsi. JAMHURI imepata taarifa kuwa chuo hicho hadi sasa kimeendeshwa kwa kipindi cha miaka tisa bila kuwa na Baraza la Uongozi. NSI inaongozwa na…

Serikali ikate mzizi wa fitna Loliondo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuendelea na ziara yake mkoani Arusha, baada ya kuikatiza kutokana na majukumu mengine ya kitaifa. Mkoa wa Arusha, kama ilivyo mikoa mingine nchini, ina rasilimali muhimu kwa ajili ya uchumi wa Taifa letu. Ukiacha kilimo,…

2016: Mwaka wa machungu kwa ‘mapedejee’

Zikiwa zimesalia siku 18 tu kumaliza kwa mwaka huu, baadhi ya Watanzania wameuona mchungu katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli. Mwaka huu umekuwa mchungu kwa wale waliozoea kuishi kwa mipango, wasiokuwa na kazi maalumu zaidi ya…

Madereva wa vigogo vinara uvunjaji sheria

Baadhi ya madereva wa magari ya viongozi wa serikali wanatajwa kuwa katika orodha ya madereva wanaongoza katika makosa mbalimbali ya uvunjaji wa sheria za barabarani Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Prescanne Business Enterprises Limited, Adelardo Marcel, amesema…

MSCL kitendawili kigumu

Baada ya miezi 10 bila ya wafanyakazi wa MSCL kupata mishahara, Serikali imeonekana kutaka kutekeleza ahadi yake ya kutaka kuifufua Kampuni hii. Serikali imefanya mabadiliko ya uongozi katika baadhi ya nafasi kwenye menejimenti, imekaribisha na inashindanisha makampuni mawili ya kigeni…

Hotuba ya Rais Magufuli Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika

Mheshimiwa Samia Suluhu, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiwa wa Baraza la Mapinduzi,  Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mheshimiwa Ali Hassan…