JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Hali ya kila anayedhani anaweza kuwa kiongozi

Kama kuna kitu kinanikera ni hii tabia ya mtu kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kuita watu wachache wanaomjua na aliowanunua wa mtaani kwake, na kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchi kuwa kiongozi wao. Kuna watu nadhani huwa hawajiangalii hata katika…

Nani kasema wanawake hawawezi?

Vyama vya siasa vilivyowahi kuanzishwa kati ya mwaka 1927 na 2015 katika nchi ya Tanganyika, Zanzibar hata Tanzania havikubahatika kubuniwa, kuasisiwa wala kuongozwa na wanawake bali ni wanaume tu. Huu ni msiba mkubwa kwa akinamama, lau kama zipo sababu za…

Changamoto za kulea watoto Tanzania

Utafiti uliofanyika nchini Uingereza unaonyesha kuwa gharama kwa wazazi ya kutunza mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kutimiza miaka 21 zilikuwa ni Paundi (£) 227,267 za Uingereza. Hii ni taarifa ya mwaka 2014 na ni kwa mujibu wa kituo cha utafiti wa…

Jihadhari; haya ni mazingira ya kufutiwa umiliki wa ardhi

Watu wengi wana maeneo lakini wameyatelekeza. Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi, Sura ya 113, kutelekeza eneo ni kosa ambalo mtendaji wake ambaye ni mwenye eneo anatakiwa kuadhibiwa. Nitoe tahadhari kuwa si vema watu kujisahau baada ya kuwa wamemiliki maeneo. Wakati…

Tunalindaje kampuni zetu?

Wakati fulani kule Marekani kulitokea malumbano makali baina ya kampuni mbili kubwa zenye nguvu na ushindani mkali. Kampuni zilizohusika katika sakata hili zilikuwa ni ile ya Brother na nyingine ni Smith Corona. Kampuni hizi zilijihusisha na utengenezaji wa bidhaa zinazofanana…

Kwaheri De Gea, karibu Mkwasa

Ni mkono wa kwa heri kila kona; huku tunaagana na Mart Nooij kule katika Jiji la Manchester, ambalo linakuwa na anga nyekundu mara bluu, kuna kuagana na David De Gea. Presha imekuwa kubwa na haizuiliki tena watu kurudi katika asili…