JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Si kila msaada lazima upokewe

Ndugu zangu waandishi wa habari katika Mkoa wa Arusha, wameahidiwa ‘zawadi’ ya kufungia mwaka 2016 na kufungulia mwaka 2017. Wameahidiwa msaada wa pikipiki mbili!  Sina hakika, ni pikipiki za aina gani, lakini kama ni miongoni mwa hizi zinazosambazwa na uongozi…

Yah: Naota ndoto ya siku tano…

Siku ya kwanza naamka asubuhi naona jua limechomoza, nimechoka akili na mwili kwa kazi ngumu na nzito kwa maendeleo ya kaya yangu. Nawaangalia wanangu na Mama Chanja hali kadhalika wamesawajika kwa kilichotokea. Hakuna uchawi wala mazingaombwe ni uwajibikaji wa nguvu…

Mchele una chuya na chenga

Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi wa kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima wa maisha ya jamii hiyo. Aidha, ni mbinu ya utekelezaji au uendeshaji wa jambo kwa kutumia busara na hekima ili kufikia…

Mila na desturi za Wazanaki: faida za kibanziko

Kuna baadhi ya mila na desturi tulizorithishwa na wazee wetu tunaambiwa hazifai. Lakini zipo mila na desturi ambazo zinaweza kuchangia kuimarishwa kwa mahusiano ndani ya jamii. Mojawapo ya desturi hizo kwa kabila la Wazanaki ni wimbo unaojulikana kama kibanziko. Mzee…

Viwanja kaburi la soka

Soka la Tanzania litaendelea kushuka endapo juhudi za makusudi hazitafanyika na mamlaka husika kurudisha viwanja vyote vya michezo vinavyotumika kinyume na taratibu. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wadau wa soka, wanasema japokuwa soka la Tanzania linakabiliwa na changamoto nyingi,…

Magufuli apigwa bil. 100

Juhudi za Rais John Pombe Magufuli kuongeza makusanya ya kodi zinahujumiwa, baada ya uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kubaini kuwa katika wilaya moja tu ya mpakani, anapoteza zaidi ya Sh bilioni 100 kwa mwaka. Uchunguzi wa kina uliofanywa na JAMHURI…