Latest Posts
Mzungu mchochezi anaswa Loliondo
Raia wa Sweden, Susanna Nordlund, anayetambuliwa kama mmoja wa wachochezi wakuu wa migogoro katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha, amekamatwa na kufukuzwa nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Wilaya (DC) ya Ngorongoro, Hashim Shaibu,…
Mauaji ya koromeo tishio Kagera
Kwa muda wa mwezi mmoja sasa nipo hapa mkoani Kagera. Nazunguka katika wilaya mbalimbali kuangalia maendeleo ya Mkoa wa Kagera. Nimepata fursa ya kufika Kayanga Karagwe, nimeishia kupata mshangao. Nimeshangaa kwani Kayanga niliyoiacha ikiwa na majengo mawili mwaka 2001; Tindamanyile…
Serikali isifumbie macho wawekezaji hawa
Katika Gazeti letu la JAMHURI, toleo la wiki iliyopita na wiki hii tumeripoti kwa kina habari ya uchunguzi kuhusu mwekezaji wa kampuni ya utafutaji wa mafuta na gesi, kusini mwa Ziwa Tanganyika, kutoa chanjo kwa wafanyakazi wake isiyotumika nchini. Chanjo…
Tumekosea barabara za mwendo kasi (1)
Nianze hoja yangu kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia uhai na amani ndani ya mioyo yetu, na hatimaye kuweza kuyafanya mengi tuyafanyayo kila kukicha likiwamo hili la ujenzi wa barabara za kuwezesha mabasi kwenda mwendo kasi. Kwa mantiki hiyo…
Makongoro Nyerere: Nichagueni ninyooshe nchi
Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tayari wamejitokeza watangaza nia 40 ambao wote wanawania kiti cha urais, waweze kumrithi Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Kila anayetangaza nia…
Wachina wabuni uhujumu uchumi mwingine
Kwa sasa kumetokea mchezo mchafu unaofanywa na raia wa China na Singapore walio hapa nchini. Mchezo huu umeshamiri baada ya baadhi ya Wachina wasio waaminifu kushiriki biashara ya pembe za ndovu. Wameanzisha utaratibu wa kusajili kampuni za kusafirisha samaki hai…