Latest Posts
Yah: Huu ndiyo Mwaka Mpya usio na tofauti na uliopita
Leo tuna siku ya tatu baada ya Mwaka Mpya kuanza. Wapo ambao labda walikuwa na mipango mbalimbali waliyopanga wangefanya mwaka huu lakini isivyo bahati hawakuweza kufika kwa mapenzi yake Mola – mwenye kutoa rehema zake ndogo na kubwa. Leo ni…
Upo umuhimu wa kuweka nadhiri za Mwaka Mpya
Desturi ya kuweka nadhiri mwanzoni mwa mwaka ni desturi yenye chimbuko la desturi za kale za jamii za magharibi, na hata zile za bara Asia. Inasemekana Wababeli, wakazi wa kale wa eneo ambalo sasa ni Iraq, walikuwa na desturi mwanzoni…
EPL kuwakosa wachezaji 26
Wakati baadhi ya mataifa yakijiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), baadhi ya ligi za barani Ulaya zitawakosa nyota wake wanaotoka barani Afrika. Ligi ya Uingereza pekee itawakosa wachezaji 26. Fainali hizo za AFCON zitaanza kutimua vumbi…
Faru John wamemnywa
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, amekalia kuti kavu baada ya taarifa kuanza kuvuja na kuonesha kuwa aliwasilisha pembe za faru ‘feki’ kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Taarifa za uhalisia wa pembe alizowasilisha zinaacha maswali mengi baada ya…
Wauza ‘unga’ wabuni mbinu
Wafanyabiashara haramu ya dawa za kulevya nchini wamebuni mbinu mpya za kukwepa kukamatwa na vyombo vya dola wanapofanya biashara hiyo, JAMHURI limebaini. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebainisha kuwa wafanyabiashara wamefikia hatua hiyo kwa nia ya kusafirisha ‘mizigo’ bila kukamatwa. Kwasasa…
Kiwanda chaharibu mazingira
Wakazi wa Mtaa wa Kilongawima, Kata ya Kunduchi, wilayani Kinondoni, wameulalamikia uongozi wa kiwanda cha kuoka mikate cha Gulled Industry, kilichopo eneo hilo kutokana na kushindwa kudhibiti harufu mbaya inayotoka kiwandani humo. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wanasema kiwanda…